Mary wa umoja 3 nitoe Kwa chupa at least nipate mtu😭😭😭
2026-09-22 11:47:27
119
faithmbugua🤩🥰🌹 :
really
2026-10-04 19:34:57
1
Lucy barosh :
mko sure hii dress c ya wale waliotuacha 😂😂😂
2026-09-22 14:43:00
66
precious 💚 :
jmn samahnin ety uyo mwanaume anamiaka mingap
2026-09-27 14:56:39
7
lylianalyly :
dada angu anarangi nzuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 10:20:59
40
Patrick mutuku :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]kumbe si mm pekee wa kukagua simu
2026-09-22 06:25:37
28
ve__@💃💃 :
50/50 njoeni 🤣
2026-09-22 20:24:24
7
lime pesh🥰 :
mimi sitawai olewa hatamnifunge kwa kamba sitawai
2026-09-22 16:27:28
53
Merry Edward :
mtajambiana sasa
2026-09-22 08:09:15
12
Amore :
waaaaaaaaaaaw!!
2026-10-03 21:25:06
0
PURITY💞 :
acha tu niachane na harusi kama hizi ndo maswali
2026-09-25 21:27:12
10
Manywere No 1 :
mm sipendi mamb kama haya kwenye arusi
yanachelewesha sana menyu
2026-09-24 06:52:19
13
chepo walel :
weeh pia Mimi mnitoe soko sasa niwaje kutoa meno nje😂
2026-09-26 17:25:29
6
Harriet :
10/10kujeni
2026-09-22 07:29:59
8
48.missed calls❤️✅❤️❤️ :
Aisha nakuomba uniachilie ni enjoy maisha yangu maana ulisema nikikutoka sitawai Pata amani kwa maisha yangu yote 😭😭 Nilifikiri ni jokes but Iko serious 🤔
2026-09-23 07:48:25
9
Vicky Ngudungi :
Haya mambo ya kizamani zamani
2026-10-02 09:04:27
6
miss winnie👌👌💖 :
hapo kweny kukagua cm mm niongez najikaz lakn moyo unasem shika2
2026-09-22 08:01:47
6
CH💕 :
Sasa mbona bi harusi anakuwa anaangalia kwanza kama bwana harusi amegeuka au la halafu ndo anageuka😅😅
2026-09-23 17:48:21
8
Mrs Ongesa🥰🌹🥰 :
staki kuona harusi kwa simu yangu 😔🤣🤣
2026-09-23 11:35:58
10
Sudi sudi :
wivu ni upendo ,Julia ni emotion ya strong love ,kiukweli hii inaonyesha Dada yetu anapenda kaka zaidi👏👏
2026-09-24 10:45:27
5
To see more videos from user @director_willy, please go to the Tikwm
homepage.