@swaleh_swaleh: Nairobi has a potential of being better than any city if we stop impunity and follow the law Katibu Mkuu asema”#livehighlights #kenyantiktok🇰🇪 @Kenya Hot News @Citizen Digital @Geoffrey Mosiria @Dr. Sarah Hillman @Tabitha Mutinda
Kenyan politicians should go and do some benchmarking in developed countries, we can do better
2026-09-22 03:19:05
1
L.e.g.e.n.d_ :
Kisumu CBD hakuna hiyo ufala
2026-09-22 05:37:50
20
Main Switch :
Nairobi zinauzwa wapi CBD nipitie leo jioni
2026-09-22 02:49:35
61
DOPSOP :
this is the problem with the people in office why don't you make that mutura place better
2026-09-22 05:20:36
1
Ryan 😎 :
Hapo kwa mtura usiguze
2026-09-22 05:42:02
15
githige :
mukiacha wizi ya mali ya umma...tutafuata izo sheria zako
2026-09-21 19:45:52
67
Rays Beauty Bungoma :
That's tourist attraction
2026-09-22 12:39:12
1
Mwanzei Mweu :
customoers wa hizo mituuraa wako hapo CBD utasema aje watu wafanyie biashara nnje ya town??? you can not compare Kenya and Germany bro hiyo ni usiku na mchana. Problem is our Presidents we never have genuine Leaders but corrupt leaders evry elecrion we have. those selling Mituraa would one day want to open huge bisinesses
2026-09-22 05:03:29
1
@sejo025 :
uku sio Germany. shukuru mungu wewe uko job kuna mtu anategemea iyo job.
2026-09-21 20:09:49
40
dacape :
bottom line muche corruption Kisha u blame it to poor Kenyans.they poor of which government cause?
2026-09-22 03:31:23
1
Cleophas Nyamanya✅ :
mtura...
please husilete upuzi ya Germany kenya... wacha tupite tupate hakuna mtura. tutaachana na Ruto tukuje kwako umetuzoea.
2026-09-22 11:51:39
4
☠️Fŕãñƙø💀💀 :
Yooh Geoffrey mosiria I see ur the best complainer🥹
si basii utupee kaz ...unataka tuuze wap tupate
pesa be fair 🥲🥲
2026-09-22 05:56:58
1
JAYMNYAGA :
uko majuu wako na KAZI tunaeza mitura juu hatuna KAZI mkuu
2026-09-22 04:09:12
4
@Frankie_Boss✅️ :
Mosiria na hizo potholes ziko hapo Kirinyaga road hamzioni ama hamtumii hiyo barabara?
2026-09-22 05:28:29
3
Enrique :
China wanauza chura, mende na Kuna maendeleo. Don't be petty Musiria.
2026-09-22 04:04:35
2
MC SKYZ 🎤 :
Mosiria corruption siku itaisha hii Kenya Sheria tutafuata
2026-09-21 19:17:39
7
mwaslastborn2002 :
verrrrry true 💯💯
2026-09-21 23:18:20
2
alec alexis :
tumetok singapo sasa tuko Germany
2026-09-22 04:46:22
1
Mwanosu PLC :
German wakona pesa......huku bado watu wanahustle, iyo ndio tofauti. you think watu wanataka kufanya hivyo. the government should sort pples pockets first before you apply some rules
2026-09-22 05:08:56
1
Pkeja :
apo umekosea tunatafuta fee bwana
2026-09-22 05:14:34
1
Ndungu Wallace :
Mr mosilia there is no way rule and older can be followed by some people not all for example people deny motorbike to access to Parliament road but the same Parliament road you find some motorbike those owned by senior people the problem is the impunity of the row not mwanaichi
2026-09-22 04:55:56
1
Maaka :
It is true, watu wakuwe na place specific ya hizo moshi zao ukitaka kukula unaenda huko
like any market
2026-09-22 04:26:05
3
🍁kijana ivi ivi🔞 :
enyewe 😢 ukona dream let make Nairobi change
2026-09-22 03:34:45
0
mash B :
bro hizi vitu zote unasema iko sawa,but vijana hawana kazi
2026-09-21 20:14:09
2
Sam's2wavyy :
how can we follow the law when the politicians are breaking the same laws we pia kwenda
2026-09-22 04:35:50
1
To see more videos from user @swaleh_swaleh, please go to the Tikwm
homepage.