@mo18_official: Anahitaji Kusaidiwa 😂😂😂

Mo18_official
Mo18_official
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 17:19:30 GMT
108869
9350
191
50

Music

Download

Comments

zinduka255
Zinduka255 :
Mwambie kwanza washiriki walikuwa wangapi ndo atajibu kwa ufasaha.....[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-21 21:10:00
0
lauri.khani
Lauri Khani :
[Big LOL]
2026-09-21 19:51:38
0
ipyana2024
ipyana Tabibu :
asaaa mtu wa mwisho umpite mnakimbia kurudi nyuma au
2026-09-21 19:01:35
27
jelius.de.msekwa
Jelius de Msekwa :
mtu wa mwisho me nampitaje maenda wp tena[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-21 19:38:57
0
cute.minh86
cute min@h :
siwamwishooo 😂😂😂😂
2026-09-22 06:30:34
0
ibrahimnassor9567
Ibraah :
Mbona kavaa pensi ya Yanga.😊
2026-09-21 18:23:44
14
mkumbojr11
Mkumbo Jr 11 :
umesha sema wa mwisho inamaana me npo mbele yake yeye ndo akaze kunipita😁😁😁
2026-09-21 18:47:31
9
skwadede6
Sk-wadede :
alooh watu kibao wanashindwa hili sawali iko vi ukimpita mtu wa mwesho unakua mtu wakwanzaa
2026-09-21 20:10:26
7
user8357986028814
lameck mchopa :
Wa mwisho
2026-09-21 17:53:07
7
abbasirashidi
Abbasi Rashidi :
Mtu wa mwisho hapitwi
2026-09-22 05:44:31
3
34shijajunior
@shija junior34😎 :
nitakuwa camera man 😂😂😂
2026-09-21 18:38:43
7
amathayo159
amathayo001 :
huwez mpita mtu ambay tial yy n wa mwisho kak[Tears of joy]
2026-09-22 06:40:37
3
josejemedari
josejemedari :
ya pili kutoka mwisho
2026-09-21 18:10:54
7
latifaganam326
Latifa Ganam :
wakwaza kaka 🤣🤣😂
2026-09-21 17:32:05
8
queen.phina179
Queen phina :
😂😂😂 hat me ningejb Kam yy
2026-09-21 17:25:12
1
mollel64
MOL3 :
Correct answer
2026-09-21 18:05:30
1
user3978724327287
TANZANITE :
Hapo riada imeshaisha ndiyo maana kuna mtu wa mwisho, mtu mwisho angepatikanaje kama bdo riada inaendelea
2026-09-21 18:43:33
5
taflifah
🦋baby girl🦋 :
inategemea mupo wangap
2026-09-22 05:45:00
1
joanitha.banda
Joanitha Banda :
wakwanza
2026-09-21 18:07:53
5
willson681812725341
willsoni amon :
safi sana ume tisha mwana chilambo
2026-09-21 20:21:57
1
khabu.master
khabu master :
jamani jamani tusome 😂😂😂
2026-09-21 20:17:58
2
ekotto.23
KR23 :
wa mwisho unakua ww 😂😂
2026-09-21 20:59:25
1
tripple.m288
Tripple M :
wa mwisho
2026-09-21 17:22:13
2
a.k.mpini
a.k.mpini :
Huwezi kumpita mtu wa mwisho. Kwa sababu kama yeye ndiye wa mwisho, basi lazima wewe tayari uko mbele yake. Ukimpita, maana yake hakuwa wa mwisho!
2026-09-21 21:47:11
1
jangu.juma
jangu juma :
huwezi kumpita mtu wa mwisho
2026-09-21 18:25:55
1
To see more videos from user @mo18_official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About