@jacksonkiddymn832:

Jackson K Iddy Mnyamwanga
Jackson K Iddy Mnyamwanga
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 17:19:57 GMT
35096
720
37
182

Music

Download

Comments

salma.selemani8
💔💔💔🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️💔💔💔 :
😭😭😭😭😭😭inauma san tu da
2026-09-22 03:05:59
1
user207376997887
mama ese :
nasikia moyo wangu kuumia jamani
2026-09-23 16:55:30
2
user1607577283181
user1607577283181 :
hii nchi Ina Lana ya magufuli
2026-09-22 17:16:02
3
bajooo10
bajooo :
Tutawakumbuka milele wapendwa wetu
2026-09-23 10:34:20
2
andersonmbonea762
Anderson Mbonea :
daaa
2026-09-22 07:58:56
1
kidebakijeba
kijeba :
ALAFU ETI TUNA JESHI LA WANAINCHI... JESHI GANI WANAINCHI WATEKWA WAKO KIMYA ALAFU WANALIPWA MISHAHARA INAYOTOKANA NA KODI ZA WANAINCHI
2026-09-22 15:41:30
1
user5208409261865
user5208409261865 :
😭😭😭😭😭mama umeuwa tz du
2026-09-22 04:57:01
1
user4590034068867
user4590034068867 :
hiii ni hatali hatuko salama
2026-09-23 10:33:09
1
mwetajackson
Mweta Jackson :
Hii inauma sana, hembu tafakari utawala wa kauli mbiu kazi na utu watu wanauliwa watu hovyoo kama vile mende walio puliziwa suma!!!je siku tutakapo tumia kauli mbiu ya kazi na ukatili itakuwe nishidazaidi au?
2026-09-22 09:39:01
2
maria.ndahani
Maria Ndahani :
mungu atusaidie
2026-09-22 10:55:30
1
michael.kibona4
Michael Kibona :
mungu uturehemu ktk hili taifa,tunakwenda wapi.
2026-09-22 06:01:31
1
eisher86
Eisher 🌺😚 :
nikiona hiv moyo unauma
2026-09-22 08:22:23
1
user3979207709860
heri jeremia :
hayo yote soon yatakuwa waz kwani mungu hatanyamanza Kwa hili
2026-09-22 07:45:11
1
vaps49
vaps49 :
🙏🙏🙏
2026-09-26 06:31:38
0
merry.riziki
Merry Riziki :
mmhh!!!🫢🥺🥹🥹🥹😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 MUNGU hata lini haya??😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-22 05:17:47
1
robson22368
Robson :
tz huwezi kupata haki hata ukitangulia mbele za haki
2026-09-21 18:56:02
1
newstarsebastian
Newstar Sebastian :
duuh
2026-09-24 07:47:27
0
user7907421881251
user7907421881251 :
duuu ivi ninani anafanyaivyo nani kwanini niunyama gani uwo
2026-09-21 18:39:06
1
mammo388
VERONICA :
😭
2026-09-25 14:59:20
0
user865711628378
29kabili@2025 :
kuna nyakati ambazo ukiona upo salama jiulize ao makosa yao ni yap na kwa nn kama wanamakosa kwa nn hatuoni kes zao mahakamani, awa ni ndugu zangu maana ni watanganyika wenzangu, ila ni swala la muda kila kitu kitajulikana na tutalimaliza ili😢😢😢😭😭😭😭
2026-09-24 03:56:49
0
lamadhan8806134234691
ramadhani shbiry :
sijui tumewakosea nini watawara mungu tusaidie akuna nguvu inayo kushinda baba
2026-09-26 07:17:47
0
user70704495874035
stefania :
iki ni Nini jamani😭😭😭😭😭
2026-09-26 04:48:55
1
rehemasumuley
arusha used plastic :
Ben saanane
2026-09-26 08:42:53
0
mtumishi8618
mtumishi :
God Will take revenge
2026-09-25 20:58:12
1
mwile193
mwile :
inaumiza mnooo mungu onesha faraja na huzuni kwa uyu bibi mnywa damu za watngnyka
2026-09-21 19:28:08
1
To see more videos from user @jacksonkiddymn832, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About