Da Niffer tunaomba utufungulie tawi lako Arusha jmn plz
2026-09-21 17:41:29
46
princesslora70 :
Niferr tunaomba duka lako Mwanza
2026-09-21 18:03:38
16
Noir🥀 :
We all love her right?
2026-09-21 17:24:44
64
Patson :
Mpambanaj achok kupambana people love you niffer ❤️
2026-09-21 17:26:04
15
Mwana online shop :
Mungu awabariki wote mlofika jamani hongereni sana sana sana
2026-09-21 18:59:43
8
B🦋 :
Mungu bariki uyu dada mara 1000000000000000000000000000000000000000
2026-09-22 09:55:29
1
Ashrey :
ila search bar mnajua kujiamulia mambo
2026-09-21 19:20:04
0
April✨️ :
wanaohitaji sapoti ndo wanaenda kumsapoti mwenzao anayekula maisha
2026-09-21 19:17:04
1
Aneth@ :
hatinaye waliofika wametuwakilishaa na wenginee
2026-09-21 17:26:01
3
Dijjas wedding :
Mung anajib kwawakat usichok kuomb
2026-09-23 13:32:42
1
🥀Da BONGE ❤️ :
Haya maisha daaah 🥹🥹Mungu atusaidie niffer ni mtu snaaa ..
2026-09-21 18:17:39
2
lucy ngowi :
nimejikuta nalia kwa furaha wallah
2026-09-21 17:30:00
5
Aisha Madebe💕 :
Hawatoiba kweli apo wengne😁 Nmeuliza tu😂
2026-09-21 17:53:46
0
M~A~Collection👗👠👜Food🍱🍷 :
Am happy today wallah❤️❤️❤️
2026-09-21 17:49:45
2
phiphi🌹flower bird🦋 :
nimejiskia kulia
2026-09-21 18:12:19
2
Dove 🕊 :
congrats 😊😊😊☺️☺️☺️
2026-09-21 19:29:47
1
it's Sally💦🥀 :
Mungu awabatiki hao wote walio fika nipo mbali but nashukuru kwa hao wenye moyo safi Allah awazidishie pamoja na ww...sitamani maisha Yako ila natamani kuwa kama wewe Allah akutunze kwaajili ya waliokata tamaa🥰🥰🥰
2026-09-22 12:55:36
2
HappyQueen :
ambao hatuja pata nafasi kwa changamoto yoyote tukipata hela basi twendeni mana mi saivi sina hela
2026-09-22 05:50:13
2
Tinah🌸❤️ :
Kumbe ningesubiri jumatatu nikaenda 🥺
2026-09-22 05:22:50
1
sperah🌸🧸 :
2026-09-21 17:24:25
1
Faith ❣️❣️❣️ :
nikikaribia kukata tamaa kwenye utafutaji naingia kwenye hii account napata nguvu narudi kupambana nikiamini kesho
Mungu akubariki da niffer kwa ajili yetu
2026-09-21 18:09:59
1
pretty g :
habari da niffer naomba nisaidie kupata mtaji wa kufungua nursery naomba nisaidie nimekutext dm
2026-09-21 17:40:13
1
💧Jackieeh..❤️🫧 :
Mm nyimbo tu bc 🥹🙌❤️
2026-09-21 17:36:55
1
To see more videos from user @niffer_cosmetics, please go to the Tikwm
homepage.