@chido_point: Ila Mliman City!!!! Oktoba 27 tunakutana Mcty wasusi na wadau wote waurembo bado batiki zipo jamani tuwahi soon tutatangaza Sold Out …. @BF’s_salon ashajipatia batiki lake naye atakwepooo Kwa mahitaji ya Batiki wasiliana nasi kupitia namba zilizo kwenye Bio yetu.
Da chido shikamo!? Naomb msaada wa kuwashonea nguo vipenz naomben n mm kaz dada nina hali tete mdg wako
2026-09-21 18:01:12
3
_chummy :
Dada Chido mimi sina hela ya kununua hiyo batiki lakini moyo wangu unatamani nishiriki na nyinyi katika kumsifu Mungu na kusupportiana but najua Mungu ni mwema siku zote
Da Chido samahani hauna batiki Moja ya Free umpatie msusi wetu mzuri anatubaruza hatari,Maana now hayuko vizuri kiuchumi anauguza mzazi wake na binafsi ningekuwa na pesa ningempatia sababu anastahili kuwepo siku hiyo
2026-09-22 12:46:02
0
analaanala106 :
Tuletee na sisi da chido tupo kibo complex tegeta Nextlevel unisex saloon
2026-09-22 08:05:06
0
Mrs frank :
mnafanana jmn 🥰🥰🥰🥰
2026-09-22 10:54:24
0
kabombo_anna29 :
namimi ni msusu
2026-09-21 21:07:57
1
kabombo_anna29 :
msusi
2026-09-21 21:08:06
1
Jaklin Mhando :
dada chido mimi nataka nikujue tu nitafurahi sana nitajihisi tajiri
2026-09-22 14:02:02
0
Natalia saloon :
yaani naona cc wengine atujulikani nishaomba namie naitaji ila sasa akujibiwi wala nn naona wanapewa wengine tu
2026-09-21 19:53:18
1
love kidoti🌹🥰 :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-21 17:27:52
3
amisa amisa :
🥰🥰🥰
2026-09-21 17:27:26
2
mimah_mars❤️🥥 :
🔥🔥❤️
2026-09-21 17:30:03
2
~madam D🤓💦💫~ :
Da chido Kuna msusi chanika @@bahati kavishe mfikie na yeye Anakitu jmn
2026-09-22 13:08:37
0
To see more videos from user @chido_point, please go to the Tikwm
homepage.