@dully____: utanipa shukran zangu siku ya Qiyama🕋🕋☪️☪️

Qalbunsaleem..💐💖🩵☪️
Qalbunsaleem..💐💖🩵☪️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 17:28:13 GMT
17909
2719
102
136

Music

Download

Comments

fatty.baby0
Tanga girl :
Dah kuna mtu amenidanganya sitawah kumsamehe sitamfanyia ubaya ila Allah ndo hakimu wa hak
2026-09-22 07:26:00
26
mamu.unique
Mamu ❤️ :
Ninaushuhuda kuna sisi wengine Mungu anatupenda kma mimi jmnii nikiomba kitu napewa ya Allah sijuii hata nisemaje ila umekuwa mwema sanh kwangu kila siku kila sekunde Alhmdulilah 🥰
2026-09-23 05:58:59
16
user8304380457319
💛💛sweety ❤️❤️ :
sina cha kucema zaidi ya kucema alhamdulilah🥹🥹
2026-09-22 13:19:16
20
officialfadhila.abdallah
🦋💙فضل🇰🇪🇹🇿 :
Maneno yako yamenipa ujasiri na kunitia moyo
2026-09-23 16:17:51
2
23ummy2
unknown Nikaby🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭 :
exactly
2026-09-27 18:44:48
0
haniyaswalehashur
slay queen :
Tena uwa siku hizi dua hujibiwa hata wiki haijafika waona kashalipiwa
2026-09-28 08:40:03
2
mr.hudheyfah
MR HUDHEYFAH :
shekh Allah watu wake huwa hawafanyii zinaa
2026-09-23 11:07:22
4
fatmahaji445
Fatma Haji :
Allah akuhifadhi wewe uliotuma ujumbe huu ambao utawafaa wenye kuamini
2026-09-22 06:25:44
8
official_sheila_tz
Shayna kidoti 🧿 :
Allah anipe kama ww ambae anayajua hayo yote
2026-09-26 12:50:44
0
tiktok.comitsme81
It's me💜🤍 :
hasbunallah waneemal wakeel, alhamdulillah
2026-09-22 20:45:00
6
misspolite009
Being suuh🤍🌸 :
Sina cha kusema zaid ya kusema Alhamdulillah Allah ndio hakimu😭🥺
2026-09-22 17:28:31
7
mayla.mohamed3
Mayla Mohamed :
Nashindwaaaa ata cha kusemaaa wallh😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-22 19:21:38
3
mamu.jey8
m@y🧡 :
alhamdullah Allah ndo muweza wa yote
2026-09-23 07:59:19
3
ms.naah82
🎀A,N :
Daah nimewah lia sana kuhus wat na ndug hla nimesameh
2026-09-23 11:33:29
2
user1254675174446
user1254675174446 :
umeongea point kaka Allah akuhifadhi
2026-09-23 05:12:50
1
hawaofficial166
🧕The bus driver :
Acha nimlilie Mungu ata kama sio mtu wa Mungu atanilipia tu
2026-09-24 15:59:47
1
fetty6365
Fatma💍❤️💝 :
huwa hawajui tu wallah ila allah anasikia tunachopitia 🥹🥹
2026-09-22 12:20:22
4
samrati.yusufu
Mrs dullah 😇♥️ :
umegusa moyo wangu unauma walah wanaume wa aina hyo ipo siku watarudisha machozi yetu😭😭😭
2026-09-25 08:28:15
3
nguli610
DALALI NGULI🏘⏰️ :
fact
2026-09-22 03:11:15
3
zakiya.ramadhan
zakiya ramadhan :
hakika
2026-09-22 18:10:33
1
amina23467778
🍎AMINA🍎🇴🇲🇹🇿🔐 :
kweli kabisa
2026-09-22 09:44:48
2
reyy.1291
Reyy 12🎈 :
kweli kak kabis
2026-09-22 18:00:35
1
bintimbeyumwalimu
Ummu Swabrina 🦋✨🤍 :
Kuna mtu nilikaa nae kwenye mahusiano miaka mitatu akaniahidi kunioa ila akaona akaoe mwanamke mwengine Allah atanilipia insha'Allah😪💔🙏
2026-09-24 06:00:23
2
mariamkawambwa1
Mariam Kawambwa :
Mimi sina la kusema kwa hawa watu 3 Acha Mungu alipe kwa muda wake
2026-09-22 20:35:53
1
user3855001310516
diani dayana :
Asatii sana Kwelli KBS
2026-09-22 12:51:03
1
To see more videos from user @dully____, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About