ndo uhalisia wa nchi yetu, mkoa kama lindi vijijini, ruuma, singida, dodoma, hatari sana 😔😔
2026-09-21 19:13:53
15
INNOCUOUS 🇹🇿 :
nchi kubwa sana wakuu nipo huku muleba kijiji kinaitwa byengeragere umasikini unapiganao story live serikal maeneo mengine wawatazame watumishi either wawewanaajiliwa wa wilaya husiku😭
2026-10-09 15:42:54
5
princess makula ✨💞💖🌹 :
Tena dodoma mpwapwa vijijini Kuna sehemu njia hakuna ya kupita na pikipiki na mjini kwa miguu kama masaa 10 ni mwendo wa kuchomwa na miba😂😂
2026-09-21 22:48:15
14
MR. BLACK :
Wale wa Katoro vijijini tujuane😅😂😂
2026-10-09 16:01:59
1
team MAMBA'S 24 :
free elninno tunaitaka Elinino yetu ikiwa hai
2026-10-09 08:47:14
0
Irene❤ :
ila naskia dodoma kumekauka[Tears of joy]
2026-09-21 19:13:49
3
Amina Hussein :
nandipo ilipo ikulu ya kifahari na Jiji la serekali
2026-10-11 17:12:49
1
molongwe majile :
CCM one term [Big LOL][Perfect score]
2026-10-10 20:50:00
1
𝖘𝖎𝖑𝖊𝖓𝖙 𝖇𝖑𝖆𝖛𝖊🥷 :
mna uhakika hii nchi rais ni samia..,
2026-10-10 10:43:56
0
noahamos296 :
kigoma achana nayo kabisa kwanza vumbi gari inawasha taa saa 9 jioni
2026-10-11 10:47:33
2
parvy_124 :
🤣fact,idodomwa sio uongo,tunashukuru hata ilivyokuwa makao makuu ya nchi at list
2026-10-10 06:08:33
0
George Fridah & Amanda👒 :
unaifahamu itaja wewee🤔
2026-09-21 20:12:58
2
nebri :
😂😂😂🤣ila watu mnatoaga wap haya maneno
2026-09-22 20:52:29
2
kama karonge :
asante nimezaliwa mbeya
2026-09-22 08:50:00
2
love lucas :
kwani wagogo tumewakosea nn jamn mbona watanzania hamtuachi na Dodom yetu
2026-10-07 20:22:41
1
Doreen Willbard :
kigoma tabu sana
2026-09-21 20:18:35
2
akyoo cute🥰 :
bora nipo Arusha vijijin nilime ndiz tu,,, nimesomq kakonko jmn advance tbc taifa ilifika 2018 huko😂😂
2026-10-06 11:01:37
1
Bobo🦋❤️ :
Nani kafika kwetu tena jamani😂😂😂
2026-09-21 21:18:16
1
Uncle :
Daah Kigoma noma
2026-09-21 19:18:09
1
Suzy Philipo❤️❤️ :
kesi imefika kwa pilato🤣🤣🤣
2026-09-21 19:09:40
1
Arafati Arafati Official🏅 :
mi naona huu ndo wakati sahihi wa kuihama tiktok 😅😂🤣
2026-10-09 20:07:59
0
supertall :
hahahaha
2026-10-11 05:41:18
0
official j💐 :
ivi mshawahi fika shinyanga vijijin kweli🙌🙌
2026-09-25 10:17:39
0
To see more videos from user @kingmadiko, please go to the Tikwm
homepage.