Hizi stress hata uwe club kuna muda unazubaa tu 🤣🤣🤣
2026-09-22 17:42:07
26
zakia :
sisi Wala sio kuachwa haya ndo maisha yetu ya Kila siku 😁😁😁😁😁😁
2026-09-22 10:31:06
30
Fauster Rugemarila :
Natafuta marafiki wa hivyo tufarijiane
2026-09-23 07:47:38
7
lay💋💋 :
😂😂😂 me ndo huyo wakati
2026-09-22 06:46:42
8
Mariamu Shaban321 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]huyu ni mimi kabisa nakunywa kwenye glass afu nakunywa na kwenye chupa gudugudu nikimaliza Naliaaa had nazima
2026-09-22 07:48:10
10
LOVENESS🥰 :
tangu juzi leo ndio narudi nyumban
2026-09-22 09:53:52
4
Asia Ahmadi :
Mimi kabisa na malafiki zangu na tupogo watatu hivyo hivyo
2026-09-22 07:57:27
8
jovee🥰🥰 :
mapenzi jamn hapana me niliwahi kulala njee mlangoni