@panboe2:

Pan
Pan
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 18:59:40 GMT
64216
3213
147
190

Music

Download

Comments

user5328734320449
💕✌️🦋 :
Ety tuondoke jirani🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-21 20:24:28
95
minion_manny
emaan.haze :
Jiran kawasha na wifi kabisa naona notification za wasapu zmeanza kuingia kwenye simu yako 😂😂
2026-09-21 20:31:34
55
lisageorge568
Lissa :
TUONDOKE JIRANI😂😂😂😂😂
2026-09-21 20:18:17
65
av14672
AV :
me nimekariri playlist nzima ya jiran yangu 😂
2026-09-21 20:48:45
34
girl_alone25
Girl_Alone :
Sikutegemea 😂kwa niliyoyawaza…mhh
2026-09-21 21:22:13
7
babechollar
Babe-Chollar :
Ukiwa na mtt uwiiiiiii jiran
2026-09-21 20:44:53
5
lizzy_tz5
lizzy Montana :
Nimecheka mpaka nimemwaga kitimoto yangu rosti yenye kachumbali nyingi na ndizi 6
2026-09-21 21:33:56
16
mchina26life
mchina26life :
jamaaa jau sana nmecheka Ile mbayaa
2026-09-21 20:52:18
12
carrie_p0
_Arike🌸🩷🫀 :
unatumia WIFI ya jirani mwenetu😂alivowasha Tu na ww notification WhatsApp 😂😂
2026-09-21 21:06:19
2
nancynuni
baby naah😜 :
wanao washa redio jmni waogepeni nina ushuhuda
2026-09-21 21:29:29
10
dulla33
Abdulie :
jirani weueeeeweee😂😂
2026-09-21 20:53:24
0
user631878308
saida :
nimechekaa wallah kuna watu tunawapatia furaha na wanatupenda saana nivile tu hatujui ila wanatupendaa saana
2026-09-21 20:44:32
17
yusramo54
yusra😘 :
mbona km huyo jirani yako ni mimi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 20:37:33
0
chollohzillah8
CHOLLOH Zillah :
ety tuondke jirani😂😂😂
2026-09-21 20:39:47
22
fedymuh
fedymuh :
Mbona tuondoke jirani 😂😂😂😂😂
2026-09-21 20:19:14
5
tournament224
🌹🫶 Queenshyny 🌹 :
mm uyo kbx😂😁😁
2026-09-21 20:34:10
4
jide360
jideee💖 :
Ila jilani
2026-09-21 20:17:28
3
princessane08
ANE🧚‍♀️ :
uyo ni me kabisa😂😂 ni vile tu sipangi ila ningekuwa napanga ningeumaliza u mji kwa kufukuzwa😁😁😁
2026-09-21 20:17:55
6
yusiphate3
Joseph Finest :
jiran nd mm
2026-09-21 20:27:16
8
gajax.tz
Gajax Tz♣️ :
jiran mwenyew ndo mim kumb dah unaniwazaga familia sem unyama
2026-09-21 20:14:44
10
user172219656256hi
Hidaya :
Nimecheka sana leo siogi
2026-09-21 21:42:41
1
the_real_ader
a01🤍 :
😂😂😂
2026-09-21 20:34:22
1
mslolah3
ms~lolah :
natak part 2
2026-09-21 21:01:41
1
king_boe01
kingboe :
Sijaelewa kinachendelea jaman alieelewa anieeleweshe
2026-09-21 21:42:14
1
mishybarblie
sheyla🌸 :
😂😂huku mwisho cjakutegemea
2026-09-21 20:50:13
1
To see more videos from user @panboe2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About