pole sana kwa familia za Askari pamoja na mahabusu kwa kuwapoteza ndugu zao ni mipango ya MWENYEZI MUNGU IVO TUZIDI SANA KUOMBA ATUJUI SIKU WALA SÀA 🙏
Huwezi kujua pumzi Yako ya mwisho itakata ukiwa na hali gan,saa ngapi,na wapi tuombe sana pole
ROHO ZA MAREHEMU WOTE ZIPATE REHEMA KWA MUNGU ZIPUMZIKE KWA AMANI💔🕊️AMINA 🙏
2026-09-22 07:08:21
32
Rafael paul :
safi sana mana October walijuwa kutu umiza mioyo yetu
2026-09-22 14:05:40
11
JUSTEN :
rest in peace
2026-09-22 04:07:34
1
Bi khadija :
daah Bado mdogo sana ira mungu kampenda zaidi poleni sana family
2026-09-22 05:17:08
19
HILLARY BWELA09 :
Rest easy soldier
2026-09-22 04:04:11
1
choloboy :
rest in peace my favorite brother
2026-09-22 04:43:31
1
user1615817779050 :
Hata mwaka hana jmn mbona ivo
2026-09-22 11:28:11
6
Tyena :
🥺🥺🥺jmn awa watoto hawana hatia tusifikie uku 🥺
2026-09-22 18:35:58
0
Tatu Hamza :
duu Bado vijana wadogo jaman serikal ijenge mahakaman Kila mahali kuepusha majanga kama haya