@sulesh_2025: Aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki Dunia leo Septemba 21 2026 akiwa na umri wa miaka 97. Mama Fatma Karume alikuwa mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, ambaye aliongoza Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964. #mamafatmakarume #Zanzibar #islamicreminder #fyp #creatorsearchinsight
Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un. Pole sana kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu amsamehe marehemu dhambi zake, amrehemu, ampanulie kaburi lake na amjaalie awe miongoni mwa watu wa Peponi. Mwenyezi Mungu awape nyinyi familia subira, nguvu na moyo wa kuvumilia. Aamiin.
Ina lilah waina lilaah lajiun qur nafsi zarik tu limaut mbere ww nyum nas twaj mam et
2026-09-21 21:48:01
5
saada :
Inalilahi wainailaih rajiuni Allah amsameh madhambi yke amjalie mazi mema apekitabu chake kwa mkono wake wa kulia amuashie nuru ktk makazi yke Yaaah Allah wape subra wafiwa wte na walio guswa na msiba huu aaaamiin Allah huma aaamin
2026-09-22 04:32:49
4
aziza :
ALLAH AMPE QOUL THABIT AMUONDOSHEE ADHABU ZA KABRI