wa kwangu atasema nilijichanganya na bado[Embarrassed][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-22 09:17:20
1
Khamisi Masha :
Aaaaahh mbona unatutishia
2026-09-22 12:25:08
1
Neema♥️♥️ :
mbona bado sana hanijui na sijui kama atakuja kunijua
2026-09-22 09:22:36
29
mammy :
mimi hanijui na hatakaa anijue 😂😂😂😂😂
2026-09-22 08:20:05
6
neemadavid935 :
Kabisaaa Mimi hanijuhi ila Yeye ananijua kama Binti mlokole🤣🤣ila siku Mungu akumfumbua macho na Akili anijue 🤣🤣🤣atazirai🤣🤣
2026-09-22 17:40:41
4
Vaileth Mgeni :
kama huyu wang siku akinijua atazimia😂😂😂
2026-09-22 09:52:22
7
rosemary :
Mimi hata anijui
2026-09-22 12:32:18
3
J. k .m food :
very true
2026-09-22 11:33:36
1
Beth :
hahaa kwel kabisaa, kuna siku nimetofautiana na Mr et ananiambia mm nakujua vizur,, nilicheka cheko fulani hv alf nikamwambia bado sana hujanijua na huwez nijua na nilikuwa namaanisha,,, aliumia hiyo siku