@millardayo_: Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Bi. Fatma Karume, amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026, akiwa na umri wa miaka 97. Taarifa ya kifo cha Bi. Fatma imethibitishwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ambapo amesema kimetokea Mbweni usiku huu. Mama Fatma Karume alizaliwa Februari 2, 1929, Bumbwini Misufini, Mkoa wa Kaskazini Unguja, na baadaye akaolewa na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Mbali na kuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mama Fatma anatajwa kuwa miongoni mwa Wanawake walioshiriki katika harakati za kisiasa Zanzibar, ikiwemo kutetea haki ya wanawake kushiriki katika uchaguzi. Baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 12, 1964, alikuwa Mama wa Kwanza wa Zanzibar hadi mwaka 1972, wakati mumewe, Sheikh Abeid Amani Karume, alipofariki. Mama Fatma pia ni Mama wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, aliyeiongoza Zanzibar kuanzia mwaka 2000 hadi 2010. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Monday 21 September 2026 20:17:36 GMT
Music
Download
Comments
Young money 💰 🤑 :
RIP momo
2026-09-21 20:53:51
1
MR HOW ARE YOU :
rest in peace our grandma we love you so much
2026-09-21 21:04:19
0
China Laden :
Return If Possible 🕊️💔
2026-09-21 22:26:25
1
🌹sabryn :
pole sana millardayo😩[tears of joy]
2026-09-21 21:05:21
0
nabsa✨ :
Innallilah wainaillah rajiun
2026-09-21 20:20:12
19
Thomas Cosmas JR :
pole sote[Pray]
2026-09-21 21:10:38
0
dr.Msaki J.L. :
rip mama karume
2026-09-21 22:57:04
0
Micy brown :
Rip
2026-09-21 20:20:05
3
Manyerere mussa :
mm wakwanza Leo
2026-09-21 20:29:05
5
BARZAKH :
yaaa kullu nafsin dhaiqatul mauut katangulia tu mama yetu sis tupo njian🥺🙌🙌
2026-09-21 21:14:00
5
daudi.s.m :
Na mi mungu anipe umli mreefu niish kama yeye na zaid 🙏
2026-09-21 22:39:09
2
Pearl pink :
wahini kabla hawajaja ku comment
2026-09-21 20:47:52
3
officialkitimla ✌️🦅 :
sote ni wa mungu na kwake tutarejea
mungu ampe kauli thabit
2026-09-21 21:20:08
1
baby 💖 sabrah :
RIP bibi
2026-09-21 20:30:19
1
kitumbo :
mungu ampe kauli thabit.....ila hemed ni makamu wa Pili sio wa kwanza
2026-09-22 00:58:03
0
✨pink charm👀 :
Rest in peace
2026-09-21 20:24:49
0
@Tumababy :
Allah ampe kaul thabit
2026-09-21 23:22:49
0
emilian🥰six :
RIP
2026-09-21 20:21:20
1
nkubamariam :
polen familia jamani kumpoteza mama bb😭😭😭😭
2026-09-22 01:40:54
0
Queen 👑💞 :
Inallilah wa inallilah Rajun
2026-09-21 23:49:37
0
valentino :
R.I.P MOM
2026-09-21 22:42:29
0
zalhat :
innalillahi wanna ilyhii raajiun
2026-09-21 21:04:56
0
Dotcomvillage :
poleni sana...ahad ya mungu itamtimilia Kila mtu...Kila nafac itaonja umait...but hajafa ukimwiitaj atakuja Kwa upo la kiroho...
2026-09-21 22:38:59
0
Omy G :
Innalillah wainna ilaih raajiun
2026-09-21 22:30:43
0
amor 😘😘🥰🫶🏻 :
Kumbe kweliii
2026-09-21 23:16:37
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.