@wakali.wa.location: #zqnzibartiktok #azammarinefastferry #zanzibarfastferries #bot

VIBWEKA 😂
VIBWEKA 😂
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 20:22:12 GMT
40001
1057
27
54

Music

Download

Comments

joellytz0
NengaTz :
mnashindana kwenye uhai wangu😏
2026-09-22 05:04:02
10
abuumuadh16
Abuumuadh16 :
zikibuma mnasema bakhresa anaziroga
2026-09-22 08:21:09
0
henam68
Henam :
hapo lazima uone anampiga sana kwa sabab wanaenda njia tafaut huoni kama yule anaenda kule
2026-09-22 04:34:48
4
salykun10
Salminkhamis mohd :
mziki huo mkubwa zan fast 🔥🔥🔥
2026-09-21 22:13:04
5
ali.kimini
Ali Kimini :
Hio ya zamani sana tokea hio znz 1 zinaletwa Sasa muache apite kama ataweza Kilimanjaro 4 ni kiboko yao Kila. Moja sasa anaenda na wakati Mnaweka za zamani zimewafumbua macho azam
2026-09-22 07:35:26
0
lastbornby15
🎀🎀last born 🎀🤎 :
hyo ndo zanzibar one
2026-09-21 22:51:09
3
dhulkarnayni.khid
Dhulkarnayni Khidhri :
hizi ziw7 tu bakhresa han abirua ten
2026-09-22 05:55:42
0
bakar.beka4
Bakar Beka :
R1 L2 NA BOX CHITI INATOKA HAJUW KILIMANJAR IVO
2026-09-22 01:28:08
1
user4488328057195
pretty girl 👧 :
duh
2026-09-22 04:40:24
1
khashazsultan3
Khashaz :
kaambiwa baby njoo niko mwenyw
2026-09-22 06:03:49
0
user22368442845812
Sammy :
bora ampishe tu coz akashindana nae itakuwa tatizo kwake na kwetu
2026-09-22 06:26:54
0
cakefantasy7
🦋Emily :
Zanzibar one ni vishandu wa mbagala
2026-09-22 08:43:10
0
abuubakar510
abuu bakar :
4
2026-09-22 05:51:17
0
jimmy.john2506
jimmy John :
Kilimanjaro hajawahi kumuweza Zanzibar
2026-09-21 22:34:12
10
user2024133323556
user2024133323556 :
umeme huo aibu naona mm aisee
2026-09-21 22:01:40
1
lastborn6542
Last Born🥰🥰 :
iyoo Kilimanjaro wanip mim uwo uderev waone km hawatopaa
2026-09-21 23:05:55
3
lost3512
LOST :
walioona kuwa hiy nyekundu imesimama wangapi 😂😂
2026-09-22 07:06:34
0
alawiabubakar887
Politano521 :
mtoto kasimama kapitwa dede😁😁😁😁😁
2026-09-22 08:59:59
1
manganesedelisiou
Anchor :
Mnasubiri yatokee ya spice ndo mchukuwe tahadhari
2026-09-22 07:32:18
0
msauz99
msauz99 :
😂😂😂
2026-09-21 22:01:46
0
To see more videos from user @wakali.wa.location, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About