@rashidbattashy: SERIKALI YATANGAZA KIFO CHA MAMA FATMA KARUME ✍🏻 @rashidbattashy Mamlaka za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kupitia kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa @hon.hemed , zimetangaza kifo cha aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Bi Fatma Karume. Bi Fatma Karume amefariki dunia akiwa Zanzibar, huku Serikali ikieleza masikitiko yake kutokana na kifo hicho. Marehemu Bi Fatma Karume alikuwa mke wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na mmoja wa viongozi muhimu katika historia ya Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964. Maziko ya marehemu Bi Fatma Karume yamepangwa kufanyika kesho, Jumanne, Septemba 22, 2026, ambapo swala ya maiti inatarajiwa kuswaliwa katika Msikiti wa Jamiu Zinjibar muda wa Alaasir Baada ya ibada hiyo, mwili wa marehemu utasafirishwa na kuzikwa katika kijiji kwao Bumbwini, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rashid battashy
Region: TZ
Monday 21 September 2026 20:27:19 GMT
Music
Download
Comments
its me love :
innalillah 🥺 allah ampe kaul thabit
2026-09-22 05:02:44
1
huba khamis0 :
innallillah waina ilah rajiun
2026-09-22 01:37:55
1
Abdallah :
2026-09-21 21:00:45
2
aisha_3849 :
2026-09-21 22:25:37
1
@GENIUS@ :
innalillaah wa inna ilayh rajiun
2026-09-22 04:50:46
0
DATIIY :
2026-09-22 04:37:19
0
mtoto chabby🥰 :
ndo hatma ya mwanadam
2026-09-22 03:56:58
0
user32766630925940 :
mbele yy tuma ss
2026-09-21 22:48:24
0
alitueaywke :
Kaluu Inallillahi Waina Illahi, Rajiun
2026-09-21 23:36:05
0
Take A Trip Travel & Tours Znz :
2026-09-21 20:57:54
1
user Ali amour :
inaalilah wainah ilahi rajioun
2026-09-21 21:20:02
0
ahmed el-abry :
innalilahi wanna ilayhi rajiun
Allah ampe Kauli thabit Amjalie peponi yawe makazi yake
Amin
2026-09-21 21:11:55
0
Kareem59 :
Innaa
2026-09-21 21:32:00
0
SAFFRON :
Hujuwi kutangaza tangazo la kifo
2026-09-21 20:44:04
2
To see more videos from user @rashidbattashy, please go to the Tikwm
homepage.