@lutystar3: KILIO CHANGU Part 63 Kikao kimeisha… lakini tatizo halijaisha. 💔 Familia mbili zimekaa mezani kuzungumza kuhusu Dorian na Nadia. Baba Nadia amesikiliza kila kitu, lakini msimamo wake kuhusu dini bado haujabadilika. Lakini kwa mara ya kwanza amesema: “Nitafikiria.” Je, hiyo ni hatua kuelekea suluhu… au mwanzo wa mgogoro mkubwa zaidi? 👀 #creatorsearchinsights #storytime #lutystar #trendingreels #kiliochangupart63
Lutystar
Region: TZ
Monday 21 September 2026 20:47:26 GMT
Music
Download
Comments
Prosencia💕💕💕 :
Haya nipeni like zangu wakwanza Leo
2026-09-21 21:02:23
56
FALNAHYA :
sipendiii tabia ya nadiaa
2026-09-22 04:39:46
17
fafa binti mumu 💋💋 :
next please ila papa Nadia simpendi 🤣
2026-09-21 21:04:53
18
suzen :
Next please
2026-09-25 09:43:57
0
&kasm@363💕💕 :
yan ilkuwa naifutilia lkn saiv cipend tna Dorian na nadia hawez kuw pamoj 🥺🥺
2026-09-21 20:59:24
8
babe ziih🏵️ :
wanapendan wenyew had wivu half kumb ni AI🤣🤣
2026-09-21 21:08:11
16
ANGEL SIMON :
yaani nmefutilia hii tamthilia miaka mitatu sasa😅😅😅
2026-09-22 10:24:42
10
Veemoney :
mbn hii couple ya Nadia na Dorian mi cjaridhika ☺️
2026-09-22 03:00:18
12
mariana :
baba nadia anakela jaman duuh si wampe mtoto wake amuoe yeye mwenyewe sjawah kucoment lakn hii inaboa duuh
2026-09-21 21:07:04
13
floraheliabi :
jamani sihalala mbaka mda huu nilikuwa nakusubili kpenz 🥰🥰🥰😍
2026-09-21 20:57:13
11
zalby baby🥰😍🫡 :
tim Nadia tujuan
2026-09-21 20:53:02
15
Abby garl :
Na familia ya Dorian mistari yao ilifika shule 😂
2026-09-21 21:07:44
14
1Hz :
Nimemkubali Mzee Baba Nadia 🙌 Yuko na msimamo na hatetereki.
2026-09-21 21:03:32
8
Wit yanga 🙏❤️ :
mambo yasiwe mengi bwan wachane tu Dorian awe na anger bc walee mtoto wap
2026-09-22 07:46:27
7
user1415229910874 :
usibadiriki baba nadia
2026-09-21 21:38:25
6
Pascal :
Leo mnachelewesha saana
2026-09-21 20:54:12
10
chim :
Baba nadia ni baba angu 10/10
2026-09-22 03:31:43
8
_ _its Teeh🌸🌸 :
duuuhh ila baba Nadia jmn 🙌🙌🙌
2026-09-21 21:09:32
1
Andrea Chalres :
ui zaidi ya elimu kaka ili ni dalasa 😍😍😍😍😍😍
2026-09-21 23:22:38
5
Itz Anne :
following from 🇰🇪
2026-09-21 20:53:25
5
p square 💥😜 :
angel je mbn mmemsahau kwn hamumpend
2026-09-21 21:13:16
5
manguzo :
next 🥰🥰🥰
2026-09-22 17:27:23
2
happy🥰♥️💗 :
bora angekuwa na enjoo wamlee mtoto wao arf isitoshe wametoka mbali jmn
2026-09-22 15:37:21
1
royneh addie :
Baba nadia jau
2026-09-22 06:37:24
4
Shaluu Shalun :
next
2026-09-22 07:22:42
2
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.