@rahim.amiry: Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mama yetu, Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kilichotokeo leo tarehe 21 Septemba, 2026. Kifo chake ni pengo kwa familia na Taifa kwa ujumla, kwani alikuwa sehemu muhimu ya historia adhimu ya Zanzibar kuanzia wakati wa harakati za kupigania uhuru, Mapinduzi Matufuku ya Zanzibar na kuasisiwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daima tutaendelea kukumbuka, kuenzi na kuheshimu mchango wake katika kuhifadhi kumbukumbu na urithi wetu, pamoja na kuchochea maendeleo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya Taifa letu. Ninatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Mheshimiwa Amani Abeid Karume, familia ya Hayati Sheikh Karume, ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote. Ninawaombea Mwenyezi Mungu awajalie subra, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.#tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibar #viralvideotiktok #picture
Samia Suluhu Hassan
Region: TZ
Monday 21 September 2026 20:50:45 GMT
Music
Download
Comments
John Joseph :
hello mum how are doing today am john joseph i pray for you but I need some money
2026-09-22 07:09:48
0
ole supeet :
poleni jamani
2026-09-22 00:32:37
0
Bravo Tanto🇹🇿 :
Inna lilah wainailay rwajiun Mung amlind Amsameh makosa yake👏👏
2026-09-22 05:38:58
5
tiffa :
inna lilah
2026-09-21 22:05:35
1
F🆎ℹ️🅰️Ň :
Tuwe na pole sana sisi sote wa Tanzania🥹😪
2026-09-21 21:40:33
7
shirley001 :
innalillahi wainnaileihi rajiun
2026-09-22 02:49:54
5
Hassan mwani :
Inna Lillah waina illah rajiun
2026-09-22 04:51:29
2
ChiefDoctorNjemo :
😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏 Kurnafsi Dhaikah Turmauti 😭😭😭😭
2026-09-22 00:35:24
4
shuu food :
ina lilah inalilah rajiuun mama tulikupenda sana allah akupe pepo ya daraja ya juu polen sanafamilya
2026-09-22 03:04:40
1
MWANA@@🇴🇲🇴🇲 :
:Ina lilah waina ilehi rajiun allah ampe qauli thabit katangulie yy nasie tupo nyuma yake nasie allah atupe mwisho mwema yarabi🙏🙏
2026-09-22 03:39:06
1
user5021018678485 :
allah amaz mahala pema pepon
2026-09-21 20:54:21
4
teacher suu :
poleni mungu awape subra
2026-09-22 02:11:51
3
Kipenzi :
Innah lilah wainah ilahy rajuhun
Allah awape shufaa familia Inshallah
2026-09-22 05:48:01
1
HD :
tuwe pole wanzanzibar wote kwa msimba huu kwaniamba ya vijana wa kisiwa cha pemba natowa pole kwa familia ndugu jamaa na wanzanzibar wote inalillahi wainailaih rwajiuun
2026-09-21 22:30:29
5
official..$$#@bobo sanaa 📷💯 :
innalilahi wainnailarajiun tunasem kazi ya mungu Hain makosa hatunabudi kusema Allah akujaliye Pepo inshallah 🤲🤲🤲
2026-09-21 22:34:19
2
€..¥ůşśűf æłëįÝ🎧🎶💴🌒 :
😭😭😭😭😭
2026-09-22 01:47:13
2
JITAMEDIA :
pole sana kwa familia na watanzania kwa ujumla Innalilah Wainnalillah Rajuon 🙏🤲
2026-09-21 20:54:53
2
baba Marwan :
assalaamu a'laykum warahmatuLllah wabarahkatu natoa mkono wa pole kwa familia ya abeid aman karume mwenyezi mungu atawapa moyo wa subra wafiwa wote na mungu akumpokee huku alipo Amin rabiillamin
2026-09-21 21:24:38
2
sham :
Ina lilah waina ilehi rajiun allah ampe qauli thabit katangulie yy nasie tupo nyuma yake nasie allah atupe mwisho mwema yarabi🙏🙏
2026-09-22 02:50:14
1
gilfan___ :
Maneno mazuri yenye hekma ba busara Allah azidi kukupa nguvu kwa majukum yako mama amiin 🤲🏼
2026-09-22 07:21:05
1
Fatma DeSouza :
inalilah wahina Lilah rajuun
2026-09-22 07:20:44
0
beauty :
tahfif ya rabby allah ampe kaulii thabit amuepushie gizaa kweny kaburii lake allah awasamehe makes Yao wote waliotangulia
2026-09-22 07:18:29
0
maryammohammed1675 :
Pole na mama Samia kwa kuondokewa kipenzi mume wake.Allha amrahamu
2026-09-22 07:17:11
0
maryammohammed1675 :
Allah amrahamu
2026-09-22 07:13:24
0
@mwelue :
innalillah wa inna illaihim rajiun hakuna atakaebaki duniani nikutenda mema tu
2026-09-21 21:21:24
0
To see more videos from user @rahim.amiry, please go to the Tikwm
homepage.