Mi nikitafuta napata lakin ukiyapa namba tu yanakuwa mastatus views
2026-09-22 15:42:24
3
Reham🤎🔐🖇️..rouhy🌏🫀 :
Mweny roho kam iyo n mm mwenyew MashaAllah Hasbunallah 🥰🥰🥰
2026-09-22 07:43:48
47
It’s Neylove❤️❤️ :
😔😔tusiokua na bahati sio tu rafiki had ndugu hatuna wa kuwa ivyo niuzi kwakwelii naishi maisha yangu peke angu
2026-10-18 19:10:46
1
salma🤎 :
nani tuwe malafiki serious 😘
2026-09-22 11:28:22
2
Queen :
Dah me ndo cna rafiki mbona 🥺🥺🥺
2026-09-25 17:00:02
2
Baby G :
huyo n mimi ila nayolipwa sasa
2026-09-22 10:07:01
22
Seralya🦋 :
Natafuta rafik alie nasifa hiz😭man sijawah kuwa na mtu mweny hiz sifa naiishi a kuumia t 😔
2026-09-23 08:39:26
2
Zaqiah 🦋 :
Na mm nipate rafiki sasa🥺😫tupendane sanaa bila kuwa na wivu
2026-09-22 17:49:00
1
Sarah Phyner :
nataman nipate hata mmoja coz Kila nae mpata anaishia kuview status tu
2026-09-27 15:58:44
0
sara🦋🤎 :
Me mbona sina rafik
2026-09-22 14:44:05
0
pretty-lioness🦁❤️ :
na kweli wapo wachache hatuwaon yanakuja ya kuview status mungu nijalie nipate rafk mwema 🥹🙏🏼
2026-09-23 10:26:23
4
Madam C•E•O🤑 :
malafik kama hao tupo hila atuna bahati kupata sahihi
2026-09-22 14:34:24
2
Mariana Kimario :
Me NATAKA rafiki wa kusafiri 😁
2026-09-22 16:09:03
3
De cute🦋🦋 :
Wangu ni mmoja wengine nawachezea😁
2026-09-24 04:27:46
0
Lee Juice&Bites 🍪🍩 :
Na mie jamn nipo kigambon
2026-09-23 03:44:55
0
Anne :
mi sinaga rafiki
2026-09-22 17:42:07
3
Official Reiner :
m wangu kichogo chake kmeyumba sjui mnanisaidiaje nipate na mm mwenye iz sifa 🥺🥹
2026-09-22 11:11:37
0
mimah🥰 :
Natafuta rafiki dar🥺
2026-09-22 14:13:27
1
kate💄 :
sidhani kama bado wapo
2026-09-22 09:46:13
0
Doreen vinywaji Masasi :
Ninaye ila mchoyo rafiki yangu ila nampenda hivyo hivyo yeye anataka nimpe tuu yeye hanipi hata chakula kama naenda kwake anataka niende na mboga hii inaniumiza sana
2026-09-22 10:35:46
0
Halima yanga💚 :
Hata hao wachache wameisha tiar
2026-09-22 10:03:42
0
fettymah💫 :
nataman na mm ningekuwa nae😔
2026-09-22 08:13:54
3
bintussy89 :
Alhamdulillah mm ni rafk mwema nikikupend nakupend kwel na ukiwa rafikiang ukikosea lazma nkuambie ukwel ili ujue umekosea
2026-09-27 07:09:26
1
ts_nicole1 :
Kumbe kuna watu wa ivo 😂🙌
2026-09-27 12:42:59
1
To see more videos from user @grenis41, please go to the Tikwm
homepage.