@pipytida.officially:

Pipytida officially
Pipytida officially
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 21:00:22 GMT
109255
7030
290
79

Music

Download

Comments

rarequeen815
jayleen💞 :
tabia yangu hiyo ila so kwamba napenda 😁😁😁
2026-09-21 21:45:47
140
iam_.mgaya
juniorfurniture :
ulizen mtupe moyo tusije tukakata tamaaa😂
2026-09-22 07:03:03
21
neykoo12
NDIGWA HARDWARE ♐️🇹🇿 :
Karma is real ni swala la muda tuu
2026-09-22 07:47:19
40
its_aalliyah
Shop with Aalliyahᥫ᭡ :
me ndo maan mtu akiuliza bei naangalia profile kwanza kama haeleweki sijibu
2026-09-22 05:04:37
21
zulkhanmaluchila18
Zulkhan Juma :
janaa kapita mtuu anauza vitabuu vya dinii ya kiislamu nikamuuliza beii ganii akanijibu nikasema ayaa asantee akuna matusii ambayoo sikutukanwa mm siulizii tenaa beii watembezaa vituu
2026-09-21 21:57:53
40
cherieosborn5
🍒cherie-osborn👸 :
njoeniiii mniulizeee mimi😂😂😂😂jmn uuuuuuwiiiiii 🥹🥲🥲🙌
2026-09-22 08:02:48
5
reytorreslanda
reytorreslanda :
kama jana nimeuliza bei sehemu km kumi na sina ata mia😅🤣🤣🤣
2026-09-22 07:31:55
8
slay_trendkicks
SLAY BRAND KARIAKOO :
SIO KWANGU😂💔
2026-09-22 21:33:11
1
lastbon5440
🦋🦋💞💞lastbon💞💞 :
Mimi saiv hawanijibu ata nikienda dukani maana wamenichoka 🤣😂🤣😂😂
2026-09-21 22:49:54
24
mnyarunavipodoziitz
jrcosmetic_tz :
wafanya biashara wenzangu Sheria ni moja tuu ku block wauliza bei wotee
2026-09-24 06:27:41
2
faustajackson
miss f :
wapost bei bhn wanatukera sana nije Whatsapp kufanya nn mbn kupost adhalan bei Whatsapp why
2026-09-23 14:39:18
1
momo.tz67
MOMO Tz :
Yan kuna dada kila siku Anaulizia Bei na anunui kila nikipost anauliza
2026-09-22 17:04:27
1
baraka.mwakitaru
Baraka Mwakitaru :
aya bwana na ndugu zako wanabiashara pia
2026-09-23 05:00:50
1
mrs.r424
Mrs shey shey :
kabisa kama miwasha nichoka😅😅
2026-09-23 12:02:42
1
naomimayala8
nana :
ipo siku na wewe utafanya biashara maisha haya 🥰
2026-09-22 07:20:03
5
.fay435
fay🥹❤️ :
mbn umetoka na hujarudi?😳😒
2026-09-21 21:33:16
6
jowzey.son
JOWZEY⭐️SON :
njoo 10/10 uwakika❤️❤️
2026-09-22 05:49:34
3
zeffah_
TUNTU✅️ :
NAANZAAA😂
2026-09-22 06:38:45
1
rehiestore
rehiestore :
2026-09-22 05:11:03
1
meryca_outfits
meryca_outfits :
😂😂 Daa
2026-09-22 05:44:30
1
shey.zee5
seyran :
iphone 18 zinasota nadukan jamn😅😁😁😁
2026-09-22 19:31:19
1
wear_by_nana
wear_by_nana🦋 :
we kila siku hi shi ngap hii sh ngap sikujibuuu😁😁
2026-09-22 17:41:23
1
neylicious.collection
Miss- Ney🌹 :
msitufanyie hivo jmn
2026-09-22 05:17:52
2
nurudetah.alick
NuruDetah FASHION 01 :
me nawakalili wauliza bei siwajibu😂😂
2026-09-23 07:31:50
2
queenhappy179
Happiness Events &Decor :
mimi sasa navyo ulizwaga kupamba kama hivyo bei gani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣alfu ukijibu mtu ana acha ndala karibuni jmn mapambo sina bei sana
2026-09-22 07:41:53
3
To see more videos from user @pipytida.officially, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About