@ali_wisdom: Pengine kosa ninalolijutia zaidi maishani… ni kuwapa watu nafasi kubwa kuliko walivyonistahili. Niliwapenda sana, nikawaamini sana, nikawaona wema… hata pale matendo yao yaliponionesha ukweli. Na cha kuumiza zaidi ni kwamba, nilipuuza kila ishara… kwa sababu nilitaka kuamini kuwa walikuwa watu wema. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 21:04:35 GMT
41216
2125
17
205

Music

Download

Comments

mohdjuma365
Mariam :
dahhh huu ujumbe unanilenga mm ndicho nilichopitia kipind cha nyuma
2026-09-23 08:33:53
3
azizaahmed483
Azuu Collection :
the new me as am approaching 40
2026-09-23 15:18:30
0
berita_nchenjele
Berita Nchenjele :
najua Mungu amekutuma kuniandikia vinavyonihusu ili nipate tumaini jipya[Crying][Crying][Crying]
2026-09-23 06:16:57
3
mishalmihsal
MishalMishal🥰 :
ni kama waniambia mimi napitia haya sai nimekuwa mtu wa kujuta Kila siku kwa kuamini mtu kumbe sio mtu wa kuaminiwa inshallah Allah atanilipia🤲😭
2026-09-27 21:39:03
1
jafari.maseta
Maseta khan :
Acha nikufolow 🙏🙏
2026-09-22 17:32:58
1
nailay712
nailay :
Nyie 😔
2026-09-22 04:28:03
0
bibamasuod
Biba masuod :
Binaadamu wabaya
2026-09-22 10:17:44
0
bhabhili
Joel Chenza :
Leo nimeamua kukufuata tuuu maana mengi una andika ni uhalisia wangu
2026-10-05 13:01:23
0
sheru.ghanaim
𝙽𝙰𝙹𝙼𝙰💞💞 :
daaah
2026-09-24 20:25:40
0
mamafarhan617
Mama farhan :
binadam nyie daaa
2026-09-26 07:31:57
0
jackie1807
jackline Lucas jackline Lucas :
acha kabsa
2026-09-22 10:22:32
1
saadakanga
saadakanga :
🥺🥺
2026-09-22 11:49:53
1
fakhardin0058
☪️فخاردين 🕋 :
😥
2026-09-21 21:47:38
1
fatmasuleiman33
🌸~♡tumamy~🦋😘 :
🥺
2026-09-22 00:09:46
1
user90384801060182
Ummuh Al-Amin :
😫😫😢
2026-09-22 16:14:30
0
zuhurashebby06
zuuh tz :
🤐
2026-09-23 15:21:21
0
promq24
Mom's douta🌍💘🔐 :
😭😭😭😭😭
2026-09-23 20:13:39
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About