Mlienda kupiga kura mara mbili mbili saivi mnatupigia kelele hapa
2026-09-22 04:30:14
12
maboy :
Kwl bab il pole can
2026-09-22 05:33:31
0
abuu 2pac :
mlienda kutia kura tano tano saivi ndo mnalijua ilo ccm si chama ni madikteta
2026-09-22 03:00:59
13
Prince :
😏😏😏 Serikali wamefanya mipango kuwadanganya watu kuwa hizo nyumba wanataka kuzitengeza basi wahame, lakini ukweli ni hizo nyumba tayari Serikali ishaziuza kwa makampuni ya kigeni wapate kuzifanya hizo nyumba ni mahoteli.
2026-09-22 00:20:12
8
Maalim G :
ccm ayeeeee
2026-09-22 06:42:49
0
SUMALII suma :
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-09-22 02:36:14
5
chubeilah_six :
Kumbe unalipa elf 80 kwa mwezi maana yake hukai bure umekosea sasa mwenye nyumba kutaka nyumba yake kuna ubaya gani hivi mwakilishi na mbunge amzuie mwenye nyumba kuchukua nyumba yake kweli izo lawama ni za bure tu kwao, ingawa maisha ni magumu kwa wote lakini tujitahidi kutafuta peti ata km shamba lakini ni pako na si kung’ang’ania kukaa mjini japo si pako, baadhi ya wazee mmeajiachia sana kwenye ayo majumba mkasahau kesho zenu
2026-09-22 06:24:28
1
RehmaJ :
Ila ukweli usemwe kuna nyumba nyingine Stone town zimechoka sannna. Usalama muhim. Ila serikali wangepita kuzingatia changamoto za wakaazi.
2026-09-21 22:47:58
13
️👑🇨🇦 :
mgeni anasamani kuliko mwananchi fact💯 iio tumeona💯
2026-09-22 04:09:09
5
MR BIANCO :
siku zote yasikie tu usiombe yakukuteee
2026-09-22 02:49:26
6
Mustamim Mushajara :
mukihama cjui km mtarudishwa tena kuna wawekezaji
2026-09-22 04:52:50
1
Ayoub Shemmela :
kwan iyo nyumba ni yake au serekal?
2026-09-22 06:11:44
0
Rashma♥️ :
mm nazan ni kwaajili ya usalama si zikipita mzuw mtarud nikwa ajili ya tahadhar tu au vp
2026-09-22 04:12:44
3
manga :
Mitano tenaa
2026-09-21 22:15:21
6
Angel :
nimesoma foradhani forodhani ndonini forodhani
2026-09-22 05:59:58
0
Mammy 💖 :
Mvua inayokuja ni kubwa sana karibu dunia nzima hii mvua ndo mana mnaambiwa muondoke kwa usalama tu
2026-09-22 02:51:34
1
Eddy Charming74 :
Kwn mji mkongwe hua kuna jaa maji au vp mbona sielewi sasa mvua za elnino na mji mkongwe sielewi
2026-09-22 03:37:14
0
🥀mamucute🥰 :
yaan mtu akiambiwa kitu bc nikupg kura😅😅 jmn kwan simunalipa hapo sasa ntalipa pengine jmn ama lazima mukae mjini 😅
2026-09-22 05:24:25
0
Master Shiiif :
huyu mzee kaongea kweli
2026-09-22 01:26:34
4
user4158182560819 :
kwa jinsi ninav his serekal ingefny mpango w kuwaptia wananchi makaaz y muda il watakap maliz kufny marekebsh wawardish n sio kuwatoa sehm moj n kuwaach bil y kujua wat hao wanaend wap kwel iy n hak
2026-09-22 05:33:57
0
prety wa :
uhai nibola kuliko chochote sababu ni mvua za elmino na c kingine.
2026-09-22 03:22:51
3
Ahmad :
serekali imejenga nyumba c wawape wakae
2026-09-22 02:53:44
2
userMKONGO_07 :
ni bora wangewataftiya sehem maalum ya kuish kam nchi za nje wanavyofany ila hiyo cio haki hat kidogo bal ni ubabe
2026-09-22 04:53:50
1
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm
homepage.