@salmasaid_znzyetu: SALUM MOHAMMED SALUM MKAAZI WA MALINDI

Salma Said
Salma Said
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 21 September 2026 21:24:34 GMT
22780
759
30
49

Music

Download

Comments

saed_062
SaedGameZN :
Wanatia tik?
2026-09-22 12:48:49
0
user5168200801703
Le roi de zanzibar 👑 :
Zanzibar stress mnoo
2026-09-22 06:15:27
2
rayhaanabdul2
Rayyaan🇦🇪🇨🇳 :
lakini kaka angu ona nyumba iyo ilivokatika hatari elnino linakuja unaambiwa kwa faida yako
2026-09-22 06:50:27
6
itsnabhany_
nabhany accessories 📱 ⌚️ 🎧 :
kura mliwapa wenyewe tulieeeni
2026-09-22 13:38:15
0
abidal.abas22
Abidal Abas :
Nataka nicoment lkn mwana sheria wangu kashafariji
2026-09-22 12:18:47
0
delax877
Delax 17 :
umetisha mwangu wanahama wanaenda wapi na hawajawatengenezea mazingira
2026-09-22 15:17:32
1
triple98s
triple S :
hao ndio viongoz waliojichagua kuiongoz Zanzibar 🤣🤣
2026-09-22 06:17:26
1
mdigo25
MDIGO :
kwan si waachwe tu jamani
2026-09-22 10:32:18
0
roja.monga
Roja Monga :
kweli hatari jenga mpe mwenyewe
2026-09-22 18:19:02
0
hashnunhashim
Time will never come back ✈️ :
2026-09-22 18:47:27
0
mamdogop
mamdogoP :
Jamaniii hakuna asiye na jaamaa kajihifadhinii. Kwa muda uende na chakula [Pray][Tears of joy]
2026-09-22 15:59:45
0
lil_00786
Lil_007 :
ikifika uchaguzi mnasahau yote haya..😂😂😂
2026-09-22 12:15:21
0
hanaf_hn
Hanaf_hn :
mitano tena
2026-09-22 10:41:44
0
hajury_98
hahdhdhyeydd :
CCM OYEE
2026-09-22 10:23:23
0
gallas.mlinz
gallas mlinz :
mwangu sio pw
2026-09-22 04:20:11
0
nass_diva
👑Nass_diva 25 :
daaah
2026-09-22 06:18:51
0
roja.monga
Roja Monga :
daah maisha yazidi kuwatafran mamae kwa mungu tu
2026-09-22 18:17:47
0
lil_.ommie
عمر عبدالله :
Kuna vitu ndugu zangu kabla hjatoa lawam….mue munafikiria ,munaongonzwa sana na hisia Yaan sijui kwanin sasa si munasikia kuna mvua kubwa na Hiyo nyumba kwamacho yako si ishashinda hapo munasubir msaada wa serikal mahan hpo nyie ishawashinda
2026-09-22 08:03:40
0
feisagym1k6
feisagym1k6 :
Yani lengo mji mkongwe wote uwe mahotel mutajua tu kama mwinyi aupga mwingi ajenga bara bara mji mkongwe baada ya miaka 2 hakutokua na waakazi zaidi ya mahotel ya kitalii tu
2026-09-22 11:43:08
1
aliy.omary12
Thiago Ramiley 06 :
sasa hama tuhame iwe Sawa tuhame ... jeee tukimbie mvua tu jee kuhusu Kula tule nini mavi au mawe... kiufupi viongozi tutafutien na sehm ZA kuishi na tupeni pesa ZA kujiandaa na kueka vyakula ndani ... sio suala tukimbie tu wakati hatuna sehm ya kufikia
2026-09-22 09:08:03
1
alimgwali
Ali Mgwali :
Tusubiri nyumba zianguke tutoe lawama lkn nyumba nyingi za mji mkongwe hazifai kwa makazi ya watu sisi wengine hata kupita tu vichochoro vya mji mkongwe tunapita kwa waswas .
2026-09-22 16:26:42
0
radhia708
Dhiyabutterfly🦋🦋♥️ :
Yani umeandikiwa kabisa hama duh
2026-09-22 09:41:19
0
user4539704685575
mud :
wawapeleke kwenye nyumba wanazojenga
2026-09-22 10:26:15
0
hafidh2834
Hafidh :
💯
2026-09-22 07:57:47
0
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About