Kiufupi nyumba zishauzwaaaa.. wajiuulize hospital ya mnazi mmoja ipo wapi” stonetown imeshaekezwa…so muhame tu.
2026-09-21 23:26:56
2
Prince :
😏😏😏 Serikali wamefanya mipango kuwadanganya watu kuwa hizo nyumba wanataka kuzitengeza basi wahame, lakini ukweli ni hizo nyumba tayari Serikali ishaziuza kwa makampuni ya kigeni wapate kuzifanya hizo nyumba ni mahoteli.
2026-09-21 23:10:30
1
user3175912903162 :
naipenda zanzibar mtuakiamkatu anakuja na lake
2026-09-21 23:12:38
0
manga :
Mkitoka hamrudi tenaa hapo
2026-09-21 23:35:35
0
Ally Shauri :
kwani hizo nyumba ni zanani
2026-09-22 01:40:11
0
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm
homepage.