Sasa nyie mtamlazimishaje mwanamke kwenda msikitini na je kama anadharura, nyie amjielewi mnafanya content na mambo ya dini
2026-09-22 08:47:07
22
Happy omary :
din haitumii nguvu wapedwa bali upendo sio mabavu
2026-09-22 07:07:47
16
cr7man :
as alykum
mashallah
mashallah
ila acheni ayo mambo kwa maan mnawez kutengenez contect au video za mawaidha kukumbusha waislam waswali
yan mnafel
2026-09-22 02:55:12
16
Moh Rodriguez :
Hawa jamaa wasihusishe dini na mambo yao ya hovyo... Ukumbusho kweli ni muhimu LAKINI sio kwa style hiyo ya kuwapiga watu hiyo Mtume Muhammad S.A.W hakuelekeza hivyo ni dhambi kutoa hukumu ya bakora...
2026-09-22 05:51:10
11
Dee girl :
Innalillah wainnah ilaihi rajiun
watu wanaelimishwa lakini sio kwa mtindo huo
hata mtume S A W alifanya kazi kuitangaza dini kwa misingi iliyobora
Tafuten misingi iliyobora
2026-09-22 14:50:58
3
mrs yasrii🥰 :
we kaka pia unapata dhambi bora ushamwambia mtu so kulazimishana dini haipo hivyoo
2026-09-24 09:29:44
1
B mom🦋💗💫 :
kheee ila nyie kwani lazima kuswali au kuswali kila mtu ataenda peponi kivyake
2026-09-21 22:45:50
4
Fa💞thyma💞 :
mashaallah mimi pia nawaunga
2026-09-22 04:45:48
2
arya :
hiyo si njia nzur kumwambia MTU
2026-09-22 07:42:43
2
Rahma :
sasa kwamfano m2 yupo kwenye siku yake ujuwe sio tabia mzur iyo kaka
2026-09-22 04:59:34
11
travis Scott :
😂uyo mama mimemkubali😂
2026-09-21 21:49:53
6
she sweet😘❤️ :
acheni kuzalilisha dini nyie bn
2026-09-21 22:22:26
8
haseincakes :
Dini haisemi mlazimishe watu kuswali kwa mabavu na Kama nyie ni waislamu mnapata dhambi yeye ni mtu mzima anajua Kama huu ni muda wa swala ila Dini haijasema umfosi mtu kuswali na mtume hakuagizwa hivyo na kupigania Dini si hivyo
2026-09-22 03:55:23
4
MIZU BOY :
kuweni na adabu sawa madogo zangu
2026-09-22 22:14:36
1
Mundhir Mohamed :
dini ya kiislam inaturuhusu kunasihiana na kukumbushana , sio kulazimisha ,anawez kuenda mskitini na asipate chochote kwasababu kaenda kwa kutishw sio imani.
2026-09-22 13:26:30
2
grace razaro :
kwan mbinguni tutaenda wote
2026-09-22 11:26:54
1
@Eunice _Biasharfashion :
huy mweny kofia nyeus namtamn heee
2026-09-22 13:48:08
2
buki binafsi :
karibuni kenya
2026-09-23 08:01:56
1
chmamy 🥰🥰 :
mumekosea ilibidi mumpe mafunz sio kulazimisha
2026-09-22 11:20:56
2
💞rioh💞 :
mukuje na uku kenya pia
2026-09-22 04:02:53
1
baby nana❤️❤️ :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ila huy mama kiboko[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 07:45:48
2
💝💞baytham💝💞 :
😂😂😂😂ko nikienda msikitin nipitie kwa wanaume jmn meniona eeh
2026-09-22 07:28:33
1
To see more videos from user @doktawamchongokidali, please go to the Tikwm
homepage.