@dna_ya_dizasta_vina: Historian ya storytelling dizasta🧠 vina kwa ufupi Au black Maradona dona Au shaban robart wa iki kizazi🙏 mkali wa kutumia kiswahili na misamiati yake yenye madini ya ubongo🧠 Jamie mzima uyu mtu amekua tishio adi wakuu wanaisi kua uyu ndio Ai ya Hip hop east African 🌍🇰🇪🇹🇿 kwajumbe zake mzito akizitoa ktk Jamii na jamii imempokea vyema 🧠🧠🧠🙏
Dna ya dizasta vina
Region: TZ
Monday 21 September 2026 22:10:58 GMT
Music
Download
Comments
muby666 :
black maradona
2026-09-23 08:25:27
1
the MANGODOOZ :
DZSTVN 4 life
2026-09-22 21:46:57
0
Akili Brain :
great of all time
2026-09-22 18:19:05
0
Johnie godson :
unao mkubali vina gonga like hapa
2026-09-22 16:24:31
1
barzillah official :
dah haiwez pita siku sija gonga Ngoma zakee jamaa ni noma 🔥 sana
2026-09-22 15:00:27
1
𝐌𝐎𝐍𝐎AFRICA :
Uyu dizasta sijui kasoma adi levo gani tu ni geneus kbd
2026-09-22 21:34:24
1
kassanu :
dizasta 🌟
2026-09-23 17:03:53
0
Pocca 🇿🇦🇹🇿🇨🇻 :
Hajaibuka
2026-09-23 19:10:17
0
Audax Osward :
namkubali pia
2026-09-22 18:21:34
0
yuzzo TZ Y :
ninoma sana
2026-09-22 18:50:22
0
lizo falid sela :
wajina kmb noma
2026-09-22 20:08:01
0
traveller mahimbi :
🤝
2026-09-22 17:07:41
0
killy machine :
okoa hip hop tz
2026-09-22 20:46:32
0
Qur'an recitation 🍎🍎 :
pamoj sana
2026-09-22 14:16:20
0
_banda_47👑 :
Yeye ndio mzimu wa langa🔥😂
2026-09-22 16:24:06
0
danieli :
Tena sio anga tu ni anga za mbali
2026-09-22 17:58:02
0
scardxrd :
kumbe ni mzawa wa iringa
2026-09-22 10:35:09
1
fo life 🧬🧬🧬🧬🧬 :
nilipigiw sm ikisema njoo bar maan mtungi wa nyumbani haunogi
2026-09-22 18:42:19
0
kdbdoyor :
niko ubderground nashikilia nguzo
2026-09-22 21:18:32
0
popular 93 :
huyu dizasta alishasemaga akiibuka ana ibuka na lawama .....dizaster ft kipepe gori la ushindi
2026-09-22 20:33:58
0
Aidan yohana🇹🇿 :
yeye ndio toleo la mwisho la kiumbe wa aina yake
2026-09-22 15:41:30
0
Andrea Laurent andrea :
vina aimbeee hi pop pekeake wengin achen
2026-09-22 05:10:12
0
user40170866715886 :
jama nyimbozake huwa zinamananyingi sana
2026-09-23 08:23:09
0
To see more videos from user @dna_ya_dizasta_vina, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.