Huo tulishaukataaaa Magufuli alituelekeza vyema tu. Na bible iko very clear kiboko humpa mtoto Maarifa.
2026-09-22 05:25:46
0
WACHU ❤. :
naomba wangu achapwe
2026-09-22 04:15:56
0
lovecakes bakery 🎂 :
usimnyime mtoto fimbo maana ukimpiga kwa fimbo #HATAKUFA# bali utamuokoa nafsi yake na kuzimu
watatupanda kichwani tena wakiona Kuna Sheria kama hizi uwiiii
2026-09-22 05:22:15
0
SILY IZZ :
nyumbani wanachwapa tuu😂😂😂
2026-09-22 06:20:17
0
To see more videos from user @ngbfadventist, please go to the Tikwm
homepage.