Kiukwer kuna mda naogopa 😿ananijali na kunisikiliza kupita kiasi 🤌anahakikisha niko vzr na ninapata kila kitu on time kilicho ndani ya uwezo wake 🤌hajawahi nambia sina au hapana 😒shida hajawahi nikosoa hata nikikosea,hajawahi nifokea hata napokua nina hatia 🥺huuu mwaka wa pili sijawahi ona hasira yake kiufupi sio muongeaji 🥺
2026-09-22 12:15:41
19
💓💓CUTE TRUST💓💓 :
hiyo movie hata Mim niliangalia 😅
2026-09-22 10:30:59
8
Mama Gee :
mm wangu ananijali kuninunulia bia tuu sijui nimtagg ila hela aaaaaaaa🥺
2026-09-22 10:40:00
8
Josephine Mwanga :
my situation
2026-09-22 13:30:43
1
🌸This one Debby👀 :
Wanapatikana wapi hao
2026-09-22 10:19:16
8
user9380001088218 :
me nakutana na wanaoongeaa sanaaa halafu matendo meyo😥
2026-09-22 09:59:39
8
charming🥀 🦋🦋 :
mm nilikuw naomba jina la nyimbo tyu
2026-09-22 07:28:07
9
🌸 °❀.ೃ࿔𝔍𝔞𝔰𝔪𝔦𝔫𝔢🍀 ❀.ೃ࿔* :
Hii movie gan niingie😁😁😁
2026-09-22 13:18:37
1
Editha masisa :
kuna huyu wangu anapesa kitita lakini ndani ya mwezi mzima ananipa elfu80000 au laki tu😭😭 au nimuache2
2026-09-22 14:29:25
4
Fai G😍 :
🥹🥹😒weeee acha tuuuuu
2026-09-22 06:29:05
1
somebody😍❤️🔥 :
anyone aniamshe kutok kweny hii ndoto😅😅😅😅
2026-09-22 13:46:47
3
REE MILLHAJI :
Sio hvyo tuu unataka kuwa mwema lkn unajikuta kila kitu unaharibu Afu mnasameheana mambo ya arudi kawaida 🥰
2026-09-22 14:41:34
2
@edn😻 :
nilikuwa na kama wa hivo ila nilikuwa na Muona kama anadharau nikamwacha
2026-09-22 15:16:46
2
Lucia Benedict :
ushamaliza kumbe ngoja litakukuta jambo utakuja kusema yani bora mtu akuonyeshe tabia yake ila sio akunafkie
2026-09-22 13:14:16
2
Amor SDA :
daaah ndio my situation kwa sasa nyieeeeeeeeee
nasikia rahaaaaa 🥰🥰🥰
Mungu azidi kumbariki walai
2026-09-22 15:38:32
6
beauty Andrew :
🤔wanapatikana wapi kipenzi?
2026-09-22 14:27:16
1
Lizzy Min Market :
Mungu aendelee kumuweka kwa ajir yakoo
2026-09-22 12:24:11
3
stellah :
Ndio hyu nimempta saiv Asante Mungu
2026-09-22 15:10:47
2
Irene Magwizi :
true love exist 😻😻 ni wakati wa kila mmoja wetu ukifika tu basi jambo linatimia
2026-09-22 13:42:38
3
amor :
wapo wap hao😊😊😊
2026-09-22 06:33:02
1
elimarik :
no matter ni mtu mzima namupenda na dini ntachange familia na ukoo watanisamehe
2026-09-22 08:02:52
2
To see more videos from user @dollardollar500, please go to the Tikwm
homepage.