جزاك الله خيراً،..
Allah atusamehe dhambi zote, tumeisoma sana hii dua.. Nimetoka huko, Allah atupe nguvu tufwate Haki na kuiacha Batel
2026-09-22 17:21:32
2
محسن عبد الرحمن :
ingekuwa vyema ingetafsiriwa ili tuzidi kuelewa zaidi sio tu kutoa maelezo bila kujuza maana
2026-09-22 19:20:20
1
Haz :
apo unamuombaje mtume shekh
2026-09-22 10:41:30
3
omar :
subuhana Allah
2026-09-22 12:42:03
1
fere khamis :
Allahumma swalli swalaatan kaamilatan, wa sallim salaaman taamman, ‘alaa Sayyidinaa Muhammadin alladhii tanhallu bihil-‘uqad, wa tanfariju bihil-kurab, wa tuqdaa bihil-hawaa’ij, wa tunaalu bihir-raghaa’ib wa husnul-khawaatim, wa yustasqal-ghamaamu bi wajhihil-kariim, wa ‘alaa aalihi wa sahbihi fii kulli lamhatin wa nafasin bi ‘adadi kulli ma‘luumin lak.