naongeza Substitution
-Kusuka
-Nauli
-Hela ya bundle (Wi-Fi)
-Vikoba/Rejesho🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 06:19:14
34
M A S O U D 3 6 0 :
🤣🤣🤣🤣🤣 Kama unaamini hii game tunashinda gonga like hapa
2026-09-22 05:04:31
68
yusco bady :
😃😃😃😃😃😃😃 we imetisha sema tunashinda extra time
2026-09-22 08:01:04
0
🐾ochu_phoebe👣 :
Wamesajili streak mpya iPhone 18 anabalaa kinoma 😂😂😂
2026-09-22 06:16:37
7
saada :
jaman mliomuaelewa huyo kma mm nilivyo muelewa kuwa n ss wana wke ndio tunaosemwa tujuane 🤣🤣
2026-09-22 05:53:33
20
justinechiwayajus :
Tukipunguza presha tunashinda Tu 🥰🥰🥰
2026-09-22 11:12:34
3
paulomabula457 :
high thinking capacity. daaah hongera brother
2026-09-22 10:03:06
3
Eagle Man :
Yani brother umetisha respect for you 😂😂😂😂
2026-09-22 05:55:35
0
PASHI BOY :
duh na kwenye team yetu kuna mashabiki wao
2026-09-22 08:54:11
4
PureBoy🇹🇿🇹🇿 :
😁😁😁😁Tukiwa wanyonge hatushindi😂😂😂
2026-09-22 05:43:32
7
D :
iphone anajua sana🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 05:04:19
6
Juma Ibrahim :
ila kapten nikuhakikishie tunashundat japo tupo pungufu
2026-09-22 05:34:39
6
Gipsoni Steve sinkala :
wambiee
2026-09-22 07:51:47
0
yonamakala :
[Laugh approved][Laugh approved] kama masihara ila kuna ujumbe mkubwa sana
2026-09-22 06:35:08
7
clas mwalongo :
tunakazaa uhakika point 3 tunabeba hatuwaachi
2026-09-22 05:37:11
4
| OKA Oura | Great Conqueror :
Hata Tupambanaje mpaka Tumeisha... Iyo front line na Mabeki 🙌🙌 alafu Kipa wao ana sifa zaidi ya Dully Sykes
2026-09-22 05:43:00
4
Robin :
sab sasaa kodi,marejesho,
2026-09-22 08:36:21
0
Godwithus_Godvoice :
Harafu wana SUB kari sana kule Benchi kuna Sub inaitwa KUBETI huyu ni winga moja mbaya sana inakokota mpira kutoka Golini mpaka mpaka Golini tena.
Sasa kuna huyu anaitwa UONGO yaani huyu anakabia kwa juu sana anahakikisha amekupiga chenga inaitwa Kata uno.
Sasa kuna sub inaitwa DALALI dah! huu ni moto wa kuotea mbali yaani speed yake ni ya Mwanga anaweza kuwapita mkabaki mmegongana tu.
Kuna Sub inaitwa SIFA dah! hii Sub nouma sana ni Forward moja kari sana.
2026-09-22 10:10:38
2
Prince Jözee_28 :
me naomba @dudu baya awe coach 😂
2026-09-22 10:13:12
1
muuh ST :
iyo mba san uncle
2026-09-22 05:07:54
2
Becka kitatile kitatinho :
yaani hapo goal keeper wetu ndiye atakae tubeba sana kwakuwa ana clean shit nyingi (kgm)
2026-09-22 06:16:55
2
KEY STAR TZ 00 :
hapa nipo sub nisha jiona nipo majeruhi
2026-09-22 08:16:40
1
michaelmwaulesi :
moja kati content bora kabisa hongera kaka
2026-09-22 09:26:41
1
forty~{ 7 } classique :
sahihi fwazaah umetisha sanaaa🤣🤣🤣
2026-09-22 06:00:26
1
silenthunter :
sasa kama tulitegemea arusha ni mchezaji wetu mwaminfu na kashauza mech teyar itakuwaje
2026-09-22 06:32:10
1
To see more videos from user @mkigoma_tz, please go to the Tikwm
homepage.