@health_farm_tz: Hii ndio orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku na shirika la Viwango Tanzania (TBS). Orodha hii inataja jina la bidhaa na kiambata chanzo cha kupigwa Marufuku! ELIMIKA, HAMASIKA, CHUKUA HATUA KABLA MWILI HAUJACHOKA! #healthfarmtz #tanzania #tbstanzania #vipodoziasilia #cosmetics
mbona hamajwekea CT+ maana sio kwa ilivyomchana mama ang mdogo
2026-09-22 08:09:09
28
Happy Samson :
Ukiiona forever young niambien 😅
2026-09-22 08:01:06
2
user5308483616260 :
fair zipangwe kwa alphabet
2026-09-22 07:53:59
0
VIRGO QUEEN :
kuna mtu kaona egg skin aniambie
2026-09-22 07:21:39
6
Annie milk🫧🤍🥛 :
Uzurii cocopup haipo😂😂🤣
2026-09-22 07:34:38
7
Aisha Rendy :
Na picha ingekuwa rahisi kutambua kwa watumiaj kwasabb watumiaj wa hivy vitu wengi wanauelewa mdogo na ujuzi duni mtumiaj akiona picha ya kitu picha ya kitu anachotumia kimepigwa marufuku ataweka akilini na kudadisi zaidi then watumiaj wa hivy vipako chakusikitisha hawajui hata majina ya product wanazotumia bidhaa yake ikiisha anaenda kopo dukani kwaio mtu kam huyu akiandikiwa jina la product hawez elewa .
2026-09-22 07:58:46
8
sabry :
nimeona soft' free hair cream ??
2026-09-22 07:36:08
1
tc Me :
yaani hiyo Rico Ilivomfanya mama angu Hana hamu,, sijuh mafuta gani yatarudisha ngozi yake kuwa nzuri kama mwanzo,, make sio Kwa kuungua vile
2026-09-22 08:47:26
2
user6774360386178 :
Bora babecare haipo
2026-09-22 06:49:04
7
monicar :
Kingereza kingiii, at least ingeambatanishwa na picha
2026-09-22 08:18:29
4
double e :
nyie nimeona Palmer
2026-09-22 08:07:41
1
Husner🦋🤍 :
bado sabuni za kufulia sijui aanaweka madawa gani zinatuchuna mukono balaa
2026-09-22 09:22:40
1
🍿 Smile Movies TZ :
kwenye hiyo list naongezea cocopulp cream
2026-09-22 09:35:39
0
Vicky jeremia :
fair and white himefanya nini tena jamani mbona nzuri sana arafu sio kibomu kwani tbs wanazingatia nini
2026-09-22 07:44:29
1
Thyndiswa ❤️ :
yan ushamba huu ata moja sijawah tumia ndo national leo
2026-09-22 09:30:18
0
Happie_ :
Ila wauza vipodozi kila saa tunakaa stend buy 😂😂 saa yyt TBS
2026-09-22 08:09:54
2
naah Msangule :
mkiona forever young apo mnishtue😁😁😂
2026-09-22 07:41:55
0
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Kuna watu wanatumiaga beta lemon hadi leo😂
2026-09-22 09:04:11
1
first lady :
mbona sjaziona goldie
2026-09-22 07:35:06
0
urban bites :
kwahiyo serikali haitaki watu tuwe weupw😂
2026-09-22 08:04:25
0
To see more videos from user @health_farm_tz, please go to the Tikwm
homepage.