Process za kutafuta hati ya Kiwanja kimoja tuu unaeza ukalia sembuse viwanj nane
2026-09-22 08:45:44
49
Lloyd :
Hehehehhe. Tatizo ni kwamba hata hyo pesa ya kununu viwanja vya laki nane sina💀💀😂😂
2026-09-22 14:21:13
10
Ahmad Z Ahmad. :
Wa cuba tushaelewa ili Tqngazo la kijanja sana[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 10:15:16
6
inlove :
ahsnte kwa wazo zur kuna bank afsa mikopo ni brother. damu damu
2026-09-22 10:39:31
13
Gcom :
Bank wanakopesha Biashara sio kiwanja 😂
2026-09-22 12:00:35
6
mkulima.plus :
kiwanja cha lake nane kikupe 50m?? kwamba hawana land valuer? hawana loan committee?? money value money. loan officer naye ana mipaka ya utendaji Yule sio authorizing officer, naye akiingiaa comitee anatakiwa kwenda kudefend kwa kuzingatia T&C.
Niwape mbinu ya uhakika??
2026-09-22 15:52:17
1
Kaka_Mchoraji😇 :
unatuponza😅
2026-09-22 13:52:31
0
Manfred :
asante studio wacha nitafute iyo lakinane
2026-09-22 08:00:05
3
Justin stamphord :
nishapata mbinu🤣🤣🤣🤣😂
2026-09-22 12:32:25
1
jenny maganga :
kwa Mimi ambae tayari ninavyo kule malela tunafanyajeee???
2026-09-22 09:58:06
2
👑SAGZ BOE🔥 :
kumbe broooo akili yako ilikua kama yanguuuu mzeee babaaaa🤣🤣🤣🤣
sema mm nilifika wakanambia utaaanza na milion 20 ndo upate hizo za juuu nikasema hawa wangejichanga kidg tuuh nilikua nayeya na kijiji mzeee
2026-09-22 15:15:09
0
Shady Clever :
Duuh. Kirahisi hivyo
2026-09-22 12:14:50
0
_gentleman38 :
Nimefanya ulivosema sasa nasubiri mwezi wa 11 niende mahakamani
2026-09-22 12:12:44
0
_choicedecor :
Hii nayo inataka hela pia 😂😂
2026-09-22 12:47:56
0
Jossephine :
usiniambie
2026-09-22 11:18:27
0
mamandegeoutfit123 :
🔥😂babaaa
2026-09-22 12:01:47
0
A_f_r_i_c_a_n_b_o_y :
2026-09-22 11:46:02
0
malkia balqis :
kabisa
2026-09-22 08:23:22
0
Clara :
kumbe
2026-09-22 08:22:49
0
johnesleonard305 :
Nan kasema
2026-09-22 17:04:59
0
ericalen7 :
benki zingekuwa na udwanzi huo wasingekuwa na amana za watu
2026-09-22 17:56:34
0
Allen Kagombola :
kwa heshima mzee, ila umezngua umetoa madini wasije wakashtuka nipo kweny process
2026-09-22 16:29:09
0
Victoria Mtangoo :
uwe una waambia na madhara yake 😂😂😂
2026-09-22 16:15:45
0
empressstyle20 :
Kwanin haukusema mda wote huo
2026-09-22 14:18:33
0
John CEO :
chukua viwanja 4kwa 1M jumla 4M. tafuta Hatimiliki cost Kam ya 2M. Jumla 6M. nenda bank mpe afisa mikiopo 4M. mwambie akupitishie MKOPO wa 60M.
rejesha mara 2 au 3. then wakaushie. Watauza viwanja wenyewe.
2026-09-22 08:19:53
2
To see more videos from user @tommylaseko, please go to the Tikwm
homepage.