@kmkmakuburi: Tembelea YouTube channel yetu KMK MAKUBURI kutazama wimbo mzima wa Watu na Wakushukuru uliyoimbwa na Kwaya Mt. Kizito Makuburi katika Tamasha la KMK EXECUTIVE GALA 2026. Usisahau kusubscribe, like na kucomment. Washa notification (🔔) ili upate ujumbe kila tukiweka wimbo mpya. #kmkmakuburi #kmkexecutivegala #catholicchoir