@haroubsaid: #0772370427 #😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️😂😂😂😂😂😂😂😂🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 #zambiantiktok🇿🇲🇿🇲🇿🇲❤️ #zambiantiktok🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲😘😘😘😜😂😂

haroubsaid
haroubsaid
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 05:52:08 GMT
367130
36325
457
1528

Music

Download

Comments

alliiddi229
Alli Iddi :
siunafua mwenyewe Nina shida gan mm
2026-09-23 10:28:34
446
user48420667368492
costa :
nitume kwa hio namba ama
2026-09-26 12:41:58
0
j.a.s.m.i.n.e.baby
Amora momy❤️🌹💕 :
mafuta shingap
2026-09-25 20:16:25
0
cheydah27
Cheydah :
Mtoto kawehuka huyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na unamzidisha
2026-09-22 06:19:14
161
www.sadickozil0032
sadick ozil :
hatamimi kikojozi tumekutana🤣🤣🤣
2026-09-23 18:50:54
49
mbwanachiburu8
mbwanachiburu :
wacha weeee
2026-09-25 04:45:46
1
kimnana0681
kimnana068🇹🇿🇰🇷 :
Guyz mnajua km kuna sehemu ya voice note apa😅
2026-09-23 22:11:25
80
mpepe0015
ABDULLAZIZ :
saw dad mzuri
2026-09-24 22:38:58
1
mrumamruma6
mruma :
https://youtu.be/_DllqJw5oQc?si=Ls2Z4VFWExSooDT6
2026-09-25 06:06:13
0
ammybeautyclinic
Ammy skincare kahama :
gudubaiiiiiiii
2026-09-25 05:58:40
1
noah_brighton
𝐍𝐨𝐚𝐡 𝐃𝗲 𝐁𝐫𝐢𝐠𝐡𝐭𝐞r :
uku wapi tena😂
2026-09-24 07:28:24
10
allyalbaamiry
Al Baamiry :
mia mbili 50 milioni au nusu ya jero
2026-09-24 03:25:11
11
ola.ohmabae
Ola Ohmabae✨ :
Uuuuuuuuuuuuuuuuuuwi, in Yombo's voice 😅😅😅
2026-09-24 05:14:24
6
gadafi_nguile
Gadafi_Nguile :
najua aiwahusu lakin leo nimepata namba yang ya NIDA🫰
2026-09-25 12:25:29
5
pasongo4916
Gwalu :
namtaka uy
2026-09-23 09:27:55
8
yangasc2026
Young Africans SC 🔰 :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
2026-09-23 21:49:41
9
user5616778126147
sheby mtanza :
jaman hee si kila jambo la kupost wafundisheni maadili mazur watoto watu wa mtandao wana majibu " aibu utaona wewe "
2026-09-23 17:17:54
19
princeszially
ZALUU🥰 :
mannal me naktunzia hii video😅😅
2026-09-24 09:17:28
8
nurhabibjab
nuryt :
muowaji kazi anayo 😂😂😂😂😂
2026-09-22 15:09:58
13
mr_twaice
Twareeqbey💤 :
@Twareeqbey💤::Mi kwa mazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-09-23 11:55:03
5
user7629531498166
S.O.H.💫 :
10/10
2026-09-25 07:04:27
2
trending..7
Fett Darling 𓆩🦋𓆪💕 :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-25 09:10:24
4
fatmasalehe746
Fatma Salehe :
we mtoto we😂😂😂
2026-09-24 09:54:48
2
shishi.shamiy
shamsa :
natafuta kazi jamani yoyote nk serious
2026-09-24 13:20:57
4
user13514861101
ismahil :
ntavumilia mana nimepewa bule🤣🤣
2026-09-25 17:10:59
1
To see more videos from user @haroubsaid, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About