@infinitynest: NETWORK HAIANZII KWENYE KUNUNUA VIFAA INAANZIA KWENYE SITE SURVEY! Tunafanya Professional Site Survey kwa Tsh 30,000 tu Tunakuja eneo lako na kuangalia: ✅ Coverage ya WiFi ✅ Umbali na Line of Sight ✅ Sehemu sahihi za kuweka Access Points ✅ Aina ya vifaa vinavyokufaa ✅ Mpangilio wa network kulingana na mazingira yako Usinunue vifaa kwa kubahatisha. Pima kwanza, nunua sahihi, install kwa usahihi. 📍 Site Survey ni Tsh 30,000 #SiteSurvey #Networking #WiFi #MikroTik #AccessPoint