Nataka Tu Kukuambia Tafadhari Jitunze Najuwa Niko Mbali Na Wewe Siwezi Kuwa Karibu Kila Wakati Kukulinda Na Kukujali Lakini Wewe Ni Mtu Muhim Sana Kwangu Staki Chochote Kibaya Kikupate Tafadhari Jihadhali Na Jitunze Kwaajiri Yangu
2026-09-22 16:48:58
30
jackleen jovnal :
๐ณmi Sina mtu wakunambia ivyo
2026-09-25 19:27:00
7
Prisila Mbogela :
anakwambia hivo alafu yeye uko anakucheat
2026-09-23 13:28:18
9
Mr beast โ :
mbona unaleta hisia mwanetu
2026-10-12 17:31:13
1
Sauthan Salmin :
daa nikipata mtu namimi wa kuwa ananiambia maneno matamu kama haya mbona hatar sana......ajitokee yyt bs๐
2026-09-22 20:14:06
9
EMMA G๐๐ :
He sent me this๐ค
2026-09-22 19:21:31
8
Patten Simzosha :
nampenda san mpezn wang
2026-11-03 21:45:20
0
MRS R๐ซ :
@lilyvany Msigitiโฅ๏ธ
2026-09-27 13:55:47
1
๐๐๐stunna ๐จ gangster ๐๐ :
agaaaah
2026-09-22 08:29:09
3
โฃ๏ธ charmingสป๐ซง๐ :
nani wakusema ivi๐ข๐ข
2026-09-23 13:44:40
1
Abdulrazaq salimu mbwambo :
Kwani huyo mwenyewe unae mwambia anasemaje
2026-10-13 15:28:32
0
Cammy145 :
Kam mim mpenz wang nipo mbali nae San hii ina nifaa
2026-10-01 07:33:23
1
Sheby official tz ๐ณ :
Daaah me wiwez ungama mana me sn dem wa kunamby kitu mm kiufup single au tazan ndo mm alone
2026-09-24 12:57:29
1
Curiousbwoy_254 :
nice ๐
2026-10-20 07:42:19
0
Radly :
ucjal, ntajtunz mama๐คฃ๐คฃ๐๐
2026-09-25 06:38:01
0
Nacky๐ค๐ซง :
He sent me this ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ค
2026-09-23 17:18:57
2
RENIE๐ธ๐งธ :
He sent me this๐โค๏ธ๐ฅ
2026-09-23 17:22:17
3
It's mima drake๐๐ฅฐ๐๐๐คญ๐โค๏ธ :
he sent me this
2026-10-23 07:27:45
1
user61884859468613 :
Amina
2026-10-01 19:18:26
0
Bida elias :
Npe pole mm naumia Ila samahn
2026-10-09 18:34:27
0
Qim :
nili mwambia hayo kila siku asubuhi ninapo amka na kumpgia simu ,lakini siku ya kukutana nae nilimkuta na mwengine ๐ญ๐
2026-10-13 05:58:11
0
@abby dayoo mc๐ฅ :
umenichapa mwanangu hii nayo kali
2026-10-30 20:08:28
0
pt :
dah
2026-10-23 20:24:03
0
Jay D๐ :
ndy tumiwa na yule mubaba
2026-11-06 20:55:03
0
Radly :
nakupend san๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-09-25 06:38:39
0
To see more videos from user @tundumaicon, please go to the Tikwm
homepage.