@rfi_sw: Nahodha wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe katika mahojiano na mwenzetu Olivier Pron kutoka idhaa yetu Mama, amezungumzia uhusiano wake na bara Afrika, wazazi wake wakitokea nchini Cameroon na Algeria. #Mbappe #KylianMbappe #France #Cameroon #Algeria #Mbappespeaks