@moli.queen: Đạo diễn Hoàng Nhật Nam và các hoa hậu - á hậu nhà Sen Vàng thành kính Cúng Tổ Nghề Nghệ Sĩ! #moliqueen #giotonghesankhau #senvang

MoliQueen
MoliQueen
Open In TikTok:
Region: VN
Tuesday 22 September 2026 06:16:47 GMT
11304
593
2
4

Music

Download

Comments

aodaituanhai
Áo Dài Tuấn Hải :
Chúc gia đình Sen Vàng năm mới đắt sô tổ nghề thương
2026-09-22 11:20:08
0
tun_gau91
Tủn Gấu :
🌷🌷🌷
2026-09-22 08:26:39
0
To see more videos from user @moli.queen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

DIAMOND NA ‘COMMUNICATION SKILLS’: ANAJUA KUSEMA NINI, KWA NINI NA KWA MATOKEO GANI Kuna jambo moja ambalo nimeendelea kuliona kwa @diamondplatnumz Platnumz: uwezo wake wa mawasiliano (communication skills) na namna anavyoweza kutumia mahojiano kujenga picha fulani ya kazi yake. Akiwa Zambia, baada ya mapokezi makubwa aliyoyapata, aliulizwa kuhusu maandalizi ya show yake. Jibu lake lilikuwa na ujumbe mzito wa kimkakati: “Nitafanya show ambayo sijawahi kufanya. Nimekuja na team ya watu zaidi ya 30, dancers na band. Kwangu hii ni kama show yangu ya kwanza.” Hapa siyo taarifa tu kuhusu idadi ya watu aliokuja nao. Ni positioning. Anawaambia mashabiki kwamba wamekuja kushuhudia kitu tofauti, kwamba show imeandaliwa kwa kiwango kingine na kwamba hata mtu aliyewahi kumuona awali ana sababu ya kutaka kurudi tena. Katika swali jingine, aliulizwa amewezaje kudumisha nafasi yake katika muziki kwa ukubwa huo kwa muda mrefu. Jibu lake lilikuwa: “God’s plan, no majivuno, then I’m working very hard.” Hili pia lina ujumbe muhimu. Anaunganisha mafanikio yake na imani, lakini wakati huo huo anasisitiza bidii.  Kwa upande wa mawasiliano, hii inafanya mafanikio yake yaonekane si kitu cha mbali kisichoweza kufikiwa na wengine, bali ni matokeo ya mchakato unaohusisha juhudi. Na hapa ndipo ninapoona umuhimu wa research na adaptability katika Tasnia ya Muziki. Huwezi kuishi kwenye industry kama kuku anayesubiri kuchinjwa. Unahitaji kuwa na mission, vision na uelewa wa game: mabadiliko ya hadhira, mitindo ya muziki, teknolojia, matumizi ya mitandao, branding na, muhimu zaidi, upande wa biashara wa muziki. Ndiyo maana ninachokiona kwa Madee kupitia Miaka 30 ya Bongo Fleva ni mfano mwingine wa thinking outside the box. Badala ya kuangalia kazi za zamani kama historia iliyopita, amejaribu kuzigeuza kuwa fursa mpya ya biashara, burudani na kurejesha thamani ya catalogue ya kizazi cha zamani. Kwa mtazamo wangu, hii ndiyo maana ya kuendelea kuishi ndani ya tasnia ileile huku ukibadilisha namna unavyoifikiria. Talent inaweza kukufanya uonekane. Lakini research, adaptability, communication na business thinking vinaweza kukusaidia kuendelea kuonekana. 🎥 by @edna.mwansa

About