@fsm_media0: Kibu denis kumbe ni mchezaji mkubwa #fsmmedia #updates #football

FSM MEDIA📺
FSM MEDIA📺
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 06:23:36 GMT
178072
10049
85
81

Music

Download

Comments

c.e.076
c.e.0 :
ana goli ngapi😁😁😆😆😆😆
2026-09-22 07:20:27
24
nck231_
Ja Rule :
Chezaji la UEFA!!! Rudi Yanga wakusajili
2026-09-22 09:43:33
1
peterkibuga
Jr05 :
hii ni maajabu yani yeye nio star wa tim zima!🤔
2026-09-22 08:34:09
9
sammyelias453
Sammy :
Alichoulizwa na ulichojibu vitu viwili tfauti
2026-09-22 08:49:30
8
victormathiascharles
Victor Mathias Charl :
hawasemi kwasbb ametoks simba
2026-09-22 08:20:19
5
blacks3la45
Gumzo_4👊 :
kumbukeni kna Mayele kwenye ile ligi
2026-09-23 21:40:04
1
mdegelatravis
Blessed boy🙏🙏🥰 :
basi kama ligi unayocheza wanakuchukulia ndo mchezaji mkubwa bsi hmna ligi huko
2026-09-22 11:51:06
11
electrician1630
Electrician :
ila waandishi kwa uchochezi kasema kwenye team anayochezea na sio Libia kwenye ligi mzima Kuna wakina girimugisha ,mayele na mastaa kibao
2026-09-22 07:55:12
5
heisxenox
𝐇𝐄𝐈𝐒_𝐐𝐔𝐀𝐕𝐎_10🥷👑 :
Basii Hakuna Ligi Uko 😂
2026-09-22 09:23:38
2
melky.aweda
Melky Aweda :
bc hiyo timu hamn k2
2026-09-23 12:37:51
0
makete43
ONYALOLESU 🔥🔥 :
nashindwa kuelewa
2026-09-22 07:17:02
0
paulillakwahhi
Beyond Infinity :
Nimeangalia takwimu zake akiwa Toka aanze ligi ya Libya na al nasr amecheza mechi 9 ana magoli 0 na assist 2 ukiangalia wengine kama akina mukwara ana magoli 5 na Kuna mwingine ana 4 so yeye sio tegemeo kabisa
2026-09-22 12:14:20
3
bizmana32
Bizmana :
kibu mnamchukuliaje huyo ni moto
2026-09-22 09:07:55
1
its.rey64
It's rey✍️💫 :
nashindwaa kuelewaaa🤣
2026-09-22 08:08:59
1
emmanuel.lukas4
Emmanuel Lukas :
duh sio kwa kukonda huko kama sio kibu
2026-09-22 08:28:53
1
chrisbaissa
Baiss@👊👊 :
😂😂😂 ila lizki
2026-09-22 07:42:26
1
kashegena.bagyan.10
Genius🇹🇿cutting✂️ :
daah
2026-09-23 11:58:59
0
user4191688806305
Calvin Kiba Boy, :
2026-09-22 09:46:23
0
msukuma_washinyanga
SIMBA FAN'S :
Daaah
2026-09-22 17:24:06
0
samwel.kakinjwa2
Samwel Kakinjwa :
wewe unayetaka kujuwa kama anafunga fuata vipindi vya michezo
2026-09-22 18:58:26
0
mdegelatravis
Blessed boy🙏🙏🥰 :
ndio ila ligi ndogo kwasabu timu yake inashika nafas ya pili muda mwingine nafasi ya kwanza asa kama kibu ni mchezaji mkubwa kwenye timu yake lig ndgo
2026-09-23 04:07:43
0
hassanihassanitit
Hassani Hassani Titu :
pambna kaka
2026-09-24 21:52:58
0
joshuasimpleman0
joshuasimpleman :
yaan kamanish mkubwa umri
2026-09-24 18:30:40
0
khamisikan3
khamisi :
samata ni mkubwa ana goli mbili
2026-09-22 10:32:32
1
user5477007125398
shafii wa ukweli :
sio mkubwa xabu huku w ulikuwa mchezaji mdg san
2026-09-22 07:21:17
0
To see more videos from user @fsm_media0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About