nilijaribu week mbili bila kula wanga ,nikajikuta nimekula Hadi Kodi ya mwenye nyumba. 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 kushiba nyama na mayai sio mchezo
2026-09-22 14:38:43
58
M3GAN :
Napenda content zako steve mweusi
2026-09-22 11:56:33
53
james b8🇹🇿 :
ruvuma wamenunua costa moja million 338
2026-09-22 07:55:09
36
Hb :
Zaman walikuwa wanakula wanga asubuh mchana na jion tatzo co kula wanga tatzo unakula unafanya nin ndomn ata hayo magonjwa wagonjwa wengi sana wanatokea dar dar kuna vikorokoro ving sana masaa 24 mtu anakula mara iki mara kile just imagine this season ni ya machingwa lakn dar unakuta maembe pia yapo ndo ujiulize yanatoka wapi ikiwa kwenye mashamba uko vijijin maembe hakuna dar watu hawajishughulish na heka heka za aina zozote ata kaz unakuta kijana boda boda ndo kaz yake lkn asubuh chapat na maharage mchana ugali ucku wali na bado katkat kuna vijuice na vienerg hapo vibite vya kutafuna tafuna unadhan magonjwa yatakosekana
2026-09-22 10:20:04
24
Sixpence :
wanga ni nini wenzangu
2026-09-22 10:09:19
14
Phyle Joshua :
Tik Tok kila mtu ni Mganga🙄🙄🙄
2026-09-22 12:17:29
14
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Asubuhi tunda moja linatosha,mchana kula mlo wako mzuri wenye mboga za majani,jioni gonga zako matunda au michemsho na mboga za majani.Piga mazoezi hata nusu saa kwa siku🫵🏻
2026-09-22 09:54:30
20
lovely girl♥️ :
hakika afya ni muhimu
2026-09-22 08:16:41
13
Tagiri B .Chwekeleza :
Shida wanga is unkwepable….maana vyakula vingi ni wanga
2026-09-23 01:37:40
5
Ziggy_Jagermaster :
56? miaka
2026-09-22 10:14:41
8
ninohtz1 :
una miaka mingapiii
2026-09-22 16:32:32
5
Doctor Daniel- Hospitali Ndogo :
Asante sana kwa kunipendekeza 🙏🏽 I really appreciate it. Tuendelee pamoja kufikisha elimu sahihi ya afya kwa watu wengi zaidi. 🩺❤️
2026-09-23 19:44:24
14
MANDELA🤍🍀 :
Once in awhile once in blue moon
2026-09-22 23:10:48
5
@southishome3 :
Bro 🫡 nakukubal sna
2026-09-22 08:19:59
7
_.𝕷𝖚𝖖𝖒𝖆𝖓_𝖄𝖆𝖐𝖔𝖚𝖇 :
Zingatia afya
2026-09-22 06:58:59
9
Man who are not profitable :
Pamoja sana broo
2026-09-23 10:58:22
1
Bint Ahmed :
mm nipo mbele ya mda sili wanga sili sukari ninapendeza na nina miaka 39 na watoto watano nimezaa najiona watofauti sana
2026-09-25 02:59:18
7
Stephen Ezekiel :
nimepunguza mkuu sasa nakula ndizi😳
2026-09-25 07:52:40
1
abdul ndembo :
Elimu hii watu wangeipata mapema pharmacy nyingi zingefungwa.Nina 58 years sili kitu mpaka saa nane mchana tena vya kuchemsha baada hapo nakula saa moja matunda na mboga nyingi.Nakimbia km 7 mara tatu kwa wiki aloo vijana nawaacha ktk mambo mengi sana
2026-09-25 14:41:53
3
lenie :
Tall,black and handsome 😉
2026-09-23 07:07:20
3
lido :
ila uporo mtamu sana chimakeke naachaje 😂😂 na maharage
2026-09-23 09:28:08
1
jessenjiku :
asa broo ugali na wali ndo chakula chetu kila siku asa tule nini?
2026-09-22 13:40:55
3
glorck🦋 :
wanga ni nini?
2026-09-24 16:27:12
2
To see more videos from user @chimakeke, please go to the Tikwm
homepage.