@kairukihospital: SI KILA TATIZO LA TEZI DUME NI SARATANI! — Dkt. Kikwete Mhe. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, anatoa elimu muhimu kwa wanaume: Tatizo la tezi dume si lazima liwe saratani. Usiogope, usipuuze dalili na usijitibu bila ushauri wa kitaalamu. 🩺 Kupima mapema ni hatua muhimu ya kujua hali ya afya yako na kupata ushauri sahihi kutoka kwa wataalamu wa afya. 💙 USIPUUZE AFYA YAKO. JIPIME. JITUNZE. 📍 Kairuki Hospital – Mikocheni, Dar es Salaam #KairukiHospital #tanzaniantiktok🇹🇿 #TeziDume #SarataniYaTeziDume #fyp