tatizo sio lissu wala mahakama wala katiba tatzo. n pale
2026-09-22 10:50:27
0
Busile :
wakumbushe
2026-09-22 18:08:52
0
KING OF LOVE :
ila LISU sio mtu wa kawaidaaa..
2026-09-22 19:11:08
1
Buthaynah :
Dahhh huyu Farhan hazina kubwa sana hii dah 🔥 nikefurahi leo kunisomesha TANGANYIKA ingawa saiv hamuitaki mnajiita Tanzania bara 😂
2026-09-22 20:20:32
1
Dan mbao :
chanzo kianzia wakati lisu anapigwa lisasi
2026-09-22 18:51:56
0
mbogorechinord :
nyerere kwenye spich zake alishawai kusema usipokubali mabadiliko utaangukia pua na akana wakuja kukunyanyua kwaiyo kama unataka tuvutane kwatumia panga na wewe unang'ang'ania kushika upande wa mpini uku ukinilazimisha mm nishike upande wa makali ili nikijikata niachili ushinde wewe iii aiwezekani tena kama ni makali tushike wote maumivu tupate wote tushindane kuvumilia maumivu wote👍
2026-09-22 23:38:34
0
To see more videos from user @ecram.masheta6, please go to the Tikwm
homepage.