kaka nipe ya mama yangu kanitoka nikiwa mdogo sana nampenda mama yangu
2026-09-22 16:06:12
1
Jay 10 🤞 :
umetisha ila nishq achwa jana 💔
2026-09-22 10:15:29
1
𝑻𝒊𝒛𝒛𝒚 𝒐𝒓𝒈𝒚🔹 :
Leo. waknzwa
2026-09-22 07:18:34
1
Mr KIGONILE :
kaka nipe moja Kwa heshima nakubali San nipe kwajili ya mtot anae Lea family baada ya baba ake kufariki nitag kak
2026-09-22 20:49:54
0
𝐊𝐢𝐥𝐰𝐚 𝐅𝐢𝐧𝐞𝐬𝐭🤴 :
Tatizo Hausomi Nyakati Kaka ....🥲💔
2026-09-22 19:14:13
0
kispha master iqram :
mimi ni steve champion 🏆
2026-09-22 14:50:05
0
James Nyanda :
Leo w pili kak naomba moja ya mafundi Ujenzi wote tanzania♥️♥️
2026-09-22 07:26:33
0
SULE_1 :
Hii nilikuwa naitaka sana👏👏👏👏👏👏💯💯💯
2026-09-22 08:09:59
0
champion tz✅🇹🇿 :
unatisha sana
2026-09-22 07:42:02
0
Taty 👊🏿☠️🐅🐅 :
kaka nafasi za thamani ni 123 na mm ni wa pili
2026-09-22 07:25:35
0
Vîñ bràvõ (junior) :
bro Moja ya mapenzi wangu nakukubali sana man
2026-09-22 07:35:14
0
💲💎$TËV£💎💲 :
nishasema hayanihusu😂
2026-09-22 08:05:19
0
Mr KIGONILE :
kaka nipe moja Kwa heshima nakubali San nipe kwajili ya mtot anae Lea family baada ya baba ake kufariki nitag kak
2026-09-22 20:49:54
0
mwita witacha :
🥰Mpenzi wangu Uzuri wako unataswira ambayo macho yanaweza kuiona lakini moyo pekee ndo unaweza kuyaelewa macho yako ni kama nyota zinazo waka usiku wa giza niki kutazama dunia yote hunyamaza tabasamu lako ni kama jua la asubuhi lichomazavyo huzun zangu zote hupotea sauti yako nikama wimbo ninao weza kuusikiliza bila kuchoka na uwepo wako na kama harufu ya mauwa baada ya mvua mtam mturivu unao bak moyoni wew si mwanamke mzuri wewe ni ndoto ambayo macho yangu yaritaman kuion moyo wangu ukataman kuipenda na bahati yangu ika kutana nayo🥰
2026-09-22 13:21:07
6
ambassador007 :
hehee ukimwamvua ivo unaachwa leo peo
2026-09-22 10:03:07
0
Steven Ernest :
[Like][Like][Like]
2026-09-22 08:59:43
1
It's_bizzo :
@Steve Champion17 🙌🙌
2026-09-22 10:21:13
0
HAMISIRAMADHANIFBI :
🙏🙏🙏
2026-09-22 17:48:21
0
Shaban Luhamba :
😁😁😁
2026-09-22 20:47:10
0
To see more videos from user @steve.champion17, please go to the Tikwm
homepage.