@mpembacomed1: NDOA YANGU 😭🙏#creatorsearchinsights #fyp #Oman #tanzania #zanzibar @Rashid Brown og @brayzon @Ajumy Ajumiya @saada m omar @akhuy

MpembaComedy1
MpembaComedy1
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 07:20:56 GMT
119467
6264
312
716

Music

Download

Comments

official_jsm1
Miss Carolyn ♥️ :
Kuna wengine toka tupate watt tushazoea kuitwa mama fulani ukickia mke wangu ujue kuna jambo😂😂😂😂
2026-09-22 09:02:44
33
didah.zerea6
Didah Zerea :
hatimae mpemba kapata mtoto[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 08:06:39
17
aishahamad66
Aysher :
Masoud mwnyewe haamini anachokiskia😂😂😂😂
2026-09-22 09:02:11
33
user744711529027419
nei :
hahahaeeeeeeeee mmekutana labour
2026-09-22 16:44:45
0
nawwal.ally5
Nawwal ally💕 :
Watoto wanakuja kutuharibia mapenzi yetu🤣🤣🤣
2026-09-22 07:40:04
34
sitibaby037
Aunty Siti02 :
hhhhh ka baba ake massoud kamkuwa mkali jamn[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-22 14:24:39
2
thubabeauty7
Thuba Beauty😘 :
aty mtu mwenyew mmekutana labour [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-22 13:51:50
2
mom.nain
MOM NAIN🦋 :
masudii mwenyewe Anasemaje😂😂
2026-09-22 08:13:56
10
ummu.afnaan4
Ummu Afnaan :
Mie nna watt wanne lakn alhamdulillah mpk leo twaitana honey 🥰
2026-09-22 14:08:20
9
user1994418105982
ms03 :
masoud keshakuwa mashaallah ❤️
2026-09-22 13:48:20
0
rahmakhamissrahma
Rahmakhamiss Rahma :
tunaomkubali mpemba tujuane🤣🤣🤣
2026-09-22 14:27:23
21
famoz007
𝔪𝔯𝔰 𝔣𝔞𝔡𝔥𝔦𝔩𝔢𝔱🧸🎀🍫 :
😂bba masoud mwe
2026-09-22 07:43:49
0
user6921557352492
Taisir kesy 96 :
mbn masoud 🤣
2026-09-22 08:18:06
1
massoud.juma0
massoud juma :
nimefanya nn
2026-09-23 04:07:05
0
me_mswahili
Mrs nobody🔐💞 :
Hata me cpendi kuitwa mama fulan na cpendi pia kumuita mume wangu baba fulani napenda najickia raha nikimuita kwa jina lake na me najickia furaha mume wangu akiniita jina langu tena akilitamka hapo hapo na hisia zinapanda natamani nimrukie😂🙈
2026-09-22 10:39:03
5
fetty.fany
Fetty fany🥰 :
shida sio jina tatizo wivuu 😂😂😂
2026-09-22 07:28:34
11
bint.sulley
GN-STORE :
hata mm sipendi mtu aniite mama fulani kwa si nina jina langu huwa napenda mtu aniite kwa jina langu.
2026-09-22 09:25:08
5
skinbybillat
Billat..Beauty :
Huyo mama ake masoud ndio mie😅
2026-09-22 15:36:04
0
user85702109457425
warda :
naenjoy sana kuitwa mama Mudathir naji vunia kuitwa mama yan yoyot yul sitak aiit jin lang aniit mam flan
2026-09-22 09:30:01
4
najatnajlat
NajatNajlat :
😅😅😅 mapenzi yamepungua mm nimeshayaona 🤣🤣
2026-09-22 07:31:07
9
narsefy
Narsefy❤️ :
😂😂huyu n mme wngu hatk kuitw bbake fulani🙌
2026-09-22 10:33:11
3
cutechichii6
cutechichii :
mmekutana leba tuu mshapendana hivyoo 😂😂😂😂😂😂
2026-09-22 11:29:10
4
nanacollection0
NanaCollection🛍️🛒 :
🤣😂mbona Ni mume wng huyu kabisa yani
2026-09-22 12:21:43
2
fatma.ameir44
Jumfat :
Alaf kuna mm simuiti baba flan simuiti mume simuiti honey wala chumvi
2026-09-22 14:44:17
1
shaymaa.musa8
Shaymaa Musa :
nimechekaaaa wallah 😁😁😁😁😁
2026-09-22 14:56:57
1
To see more videos from user @mpembacomed1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About