@denzel_trainer: NATAKA KUWAPA SIRI HII KWA WATU WOTE WENYE UZITO MKUBWA. . . .Haya ni Mazoezi madogo na mepesi sana ambayo unatakiwa kuyafanya ukiwa upo nyumbani kwako, fanya muda wowote, yatakusaidia sana kupunguza uzito wa mwili wako, kukupa pumzi na kukuweka fiti. Bila kusahau kuzingatia chakula muhimu. FANYA REPS 20x3 KWA KILA ZOEZI. TAHADHARI. KWA MTU MWENYE SHIDA YA MAGOTI NA MOYO, ASIFANYE ZOEZI LA MWISHO.
Mazoezi napenda kupungua napenda ila swala la kuacha kula ndo linalo nichanganya 😳
2026-09-28 17:47:16
10
MOM G COLLECTION :
nimejifungua kwa C's Nina miezi minne naweza anza mazoezi haya?
2026-09-23 11:48:20
2
fritz :
she changed for good
2026-10-10 13:32:15
1
Gem Mzee 🤩 :
muhimu ni vyakula na vinywaji ..hizo ndiyo zina uchezaji mkubwa katika kupunguza uzito. punguza matonge yako ya Carbs , zidisha Proteins na bila shaka tofauti utaiona kwa mda mfupi sana
2026-09-22 09:50:23
3
Faiza Abdallah :
Nataka kujoin
2026-10-04 12:59:57
0
user9974585065092 :
location pls
2026-09-25 05:56:54
0
Amour Amour :
wapi hiyiiio
2026-10-03 11:46:42
0
Little baby girl 🌼🦋🦋 :
jamni uko wap na mm unifundishe nataka nipungue tumbo
2026-09-22 08:56:12
2
ZUU🇹🇿.% :
mashaallha natamani sana
2026-09-23 05:28:45
1
Shaimaa :
Mi niko ZANZİBAR nataka online au WhatsApp
2026-10-13 07:09:51
0
Da Hilda🥰 :
nataka kuja kwenye jimu yako
2026-09-24 10:07:02
1
Asha Salehe :
mnapatika wapi
2026-10-03 12:46:12
0
madame leah :
nitajifunea nami
2026-09-28 15:45:01
0
Mary Daud :
jaman kama nahitaj mazoez online uwe mwalim wangu inawezekana broo?
2026-09-27 18:26:53
1
king of street 007 :
mwanafunzi mzuli anajituma anakupa morale mwalimu
2026-09-25 16:53:27
0
hemedykasimu :
danzel
2026-09-22 07:48:24
0
S- Life✨ :
Bravoooo🥰🥰
2026-09-23 16:35:55
0
Neema Sanga :
yalinisaidia sana
2026-09-22 08:42:23
0
missjanny61 :
2026-10-09 08:49:53
0
MOM G COLLECTION :
nimesave hii
2026-09-23 11:47:25
0
MkUbwa :
jesus nmeenda kuruka ruka matiti inaruka inaniumiza
2026-09-26 01:14:26
0
Queen Tish :
I am training to have her body. and she is doing the opposite
2026-10-07 10:59:58
0
hadija :
Densely yule mama bonge wa kuvaa madela ni huyu au !! kama ni yeye hongera mazoezi yanapunguza mwili
2026-10-06 12:41:39
0
user35230353930238 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-25 18:58:26
0
To see more videos from user @denzel_trainer, please go to the Tikwm
homepage.