@rashid_mansa: PHINA AFUNGUKA KUHUSU KUJIPATIA MTOTO NA ENI Msanii Phina amefunguka kuhusu uwezekano wa kupata mtoto na mpenzi wake Eni, akisema kuwa kama anampenda mwenza wake, wanaelewana na mambo yao yako vizuri, basi kupata mtoto ni suala la maamuzi pale muda unapofika. Phina pia ameeleza sababu ya Eni kutofika kwenye uzinduzi upya wa duka la African Boy, akisema kuwa kwa sasa Eni yupo mbali na ana majukumu mengi, lakini atakuja. Mbali na hilo, Phina amefichua nchi ambayo angependa kuishi na mwenza wake kwa maisha yao yote, endapo angepewa nafasi ya kuchagua nchi moja kati ya zaidi ya 30 alizowahi kutembelea. 🎥 Full interview inapatikana YouTube — Mansa TZ. #phina #eni #jumajux #nigeriantiktok🇳🇬🇳🇬

Mansa
Mansa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 07:47:13 GMT
35742
1747
12
12

Music

Download

Comments

princeiheanachook8
Bana Chioma :
she's the only one who speaks English in Tanzania
2026-09-22 09:56:16
7
girlygal36
girlygal :
Thanks mansa for correct translations
2026-09-22 11:42:29
12
stellamokgethi
Stella Mokgethi :
thank you for translating We love Phi Baby 🥰🥰
2026-09-22 10:59:38
15
hajara2567
hajara 256 :
you are the only one who is giving us news in English worldwide love from Uganda jp fun
2026-09-22 08:58:02
14
lovenessjohn56
plove :
nakupenda phina penz lenu lidumu
2026-09-22 09:19:45
7
plussizefairy14
Fatima/ plussize/fashion🧚‍♀️ :
gorgeousness overload
2026-09-22 19:00:13
0
oduncode770
Oduncode770 :
he be like other bloggers for tz no understand english cos they are always translating another thing
2026-09-22 14:48:25
6
aisha.aisha513
Aisha Aisha :
🥰🥰🥰
2026-09-22 13:16:25
0
To see more videos from user @rashid_mansa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About