@willy_king6: Replying to @beka.vanny Kwenye kuzoom sina mpinzani kabisa🫡✔️ #mtwara #masasi #lindi #wamakonde #mtwarandiokwetu FOR BUSINESS NAMBA IPO PROFILE ✅

MR_HANDSOME_MTWARA
MR_HANDSOME_MTWARA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 07:54:26 GMT
40875
2345
130
17

Music

Download

Comments

erickemanuely175
OSCAR FIGHTER :
Sio kweli sababu mwanzoni alikuwa kwenye Kona ya nyumba ARAFU Badae dirishani
2026-09-22 16:04:29
20
festo.mbilinyi7
Festo Mbilinyi :
hzo ni video mbili tofauti ya mwanzo yupo kwenye Kona ya nyumba ya pil yupo kat kat ya dilisha UTRA S 26 🙌
2026-09-22 19:58:42
3
shifoohuhan
REMEMBER IVAN :
samsang oyeeee
2026-10-10 09:00:19
1
official.thomas5
Official THOMAS 🌴🤬🤑 :
kwa heshima🤣🤣🤣
2026-09-22 16:06:37
1
user781695336168ignas
Ignas the Don :
kabisa kk siku zote pixel ni 👑 king
2026-10-06 08:09:55
1
masoud.kayanda
Masoud Kayanda :
Apo kalibu sana
2026-10-02 11:52:05
1
badymancharless
bady man :
piga kelele kwenye pixel 🔥 hatuna mpinzani
2026-09-22 13:08:54
4
travel.jr
Travel jr69 :
hahahha 😅😅😅 wenyee A05 mko wapii nijee
2026-09-24 18:55:09
0
musachanyendogmail
Op makini 🦺🇹🇿 :
hahahah jamaa kapisha njia oya wanngu wa pixel mikono juuu🙌😂
2026-09-22 16:48:35
1
miss.nuuh0fficial
Nuuh*📿 :
me stak kuelewa samsung mabegani💪
2026-10-11 10:27:02
0
user1109355740068
🥰 miss zuhura 🥰 :
ili mubishane na samsung tu😅
2026-09-30 23:12:21
1
fololo675
Fololo45 :
😂mpinzani nipo apah
2026-09-22 14:30:27
2
rojah974
🄱🅄🄽🄶🄰 🄹🅁💪💪💪 :
mtaraam mmoja tu roja tz
2026-10-08 13:44:48
1
beka.vanny
BEKA VANNY :
😂😂😂 bhaaaaas
2026-09-22 08:05:56
0
reeny.111
reeny🦋 :
kabsa kaka
2026-10-08 15:12:00
0
fortunatushokoror
fortunatushokoror :
hii picha amepiga akiwa nyuma yake Kuna nyumba nyingine ndio hiyo mnayoiona alafu yeye kaichukua taswira ya picha yake iliyoko kwenye kioo cha dirisha ya hiyo nyumba ya mbele yake. hivyo hiyo picha ni Moja tu ispokuwa amewaonyesha utundu wa camera yake na ubora wa camera kwenye simu yake.
2026-09-22 20:46:53
1
bariki0403
Hasira ni hasara :
2026-10-10 10:28:37
0
freemankessy0
" Freeman🚩 :
ndomaana inaitwa PIXEL 🔥😅😅
2026-10-07 17:52:34
0
kiwembe42
kiwembe 👀👀 :
mwamba Roja tz
2026-10-09 08:27:46
1
vardy.boy6
vardy Boy :
mtwara mabegani🔥🔥
2026-10-06 15:37:24
0
kamtwanje0
MRISHO💖💝💝💝 :
ahhhhĥhhhhhhhhhhhhhhhh dhhhhhh umetish kaka
2026-10-07 16:49:12
0
official_yuzzo45
DEREVA 🛺🛺 MAKAMBAKO :
apo ume Tisha mim mwenyew ninay. pixel 8 pro KAK
2026-10-07 06:26:31
0
zakariachambo
@ASHRAF KIMBOLEZA. :
zawadiyako kwaleo
2026-10-10 18:58:15
1
manyota78
manyota mc :
uzuri wa pixel 8proo inazoom na inakupa kitu quality
2026-10-07 04:10:53
0
zaynab.cute0
Zaynab Cute :
Umetisha🤣🤣
2026-09-22 11:06:13
0
To see more videos from user @willy_king6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About