mimi wangu ana mijanamke maana wametuzidi umli mimi na yeye
2026-09-28 22:07:31
17
Dada mzurii :
hakuna kitu kinaniuma alikuwa na wanawake nje balaa nikasema acha nikae kwa ajili ya wanangu siku moja nikasema nikasalimie nyumbani anamwambia msicha wa kazi huyu akae alee watoto wakikua aende akaolewe na yeye aoe maana kakosea kunioa alitakiwa aoe mkristo mwenzie kweli sisahau nikaamua tuu kurudi na kuchukua nguo zangu nimpishe aoe kwa uhuru siku amesikia ameondoka akauliza kabeba nguo zote akaambiwa ndio akasema bora aoe kabila yake watoto nimemzalia wawili Mungu atamlipia
2026-09-23 04:56:10
30
neema moleli :
ndo ninayo pitia tena wangu kabisa kasema wake nimjamzito na Mimi sio sahihi kwake
2026-09-22 14:27:52
10
yasinta :
Mm nilishamuona kama ameshindikana simuwezi hata siulizi sishituki hata nikisikia kapata mpya sishangai
2026-09-23 14:52:37
12
Hevyii Swai :
Tunayopitia hiii situation tupo wengi sana bila MUNGU hatuwez kutoboa🙌
yan kw sasa siwazi at nimkut anfny apo mn nilshvumili mpk moy umekinai ila kuniacha ataki ansem kuwa mm na yy ananyot na mm ya kupat ela kwaiyo anaish na mm kwa ajri ya kupta ela si mausiano
2026-09-23 04:42:58
2
Habiba Bby 💞💞💞💞💞💞 :
ndo wegi tuna kuwa sighle tu 😭
2026-09-22 09:55:13
7
🥰Chima~baby013💞 :
hii ndio hali ninayopitia kwa sasa
2026-09-23 16:09:38
6
Arafa Hafidhi :
Mimi yamenikuta hivyo
2026-09-22 16:39:56
2
🥰مخيعوط :
kweli kbisa yani umesema ukweli
2026-09-22 15:00:52
5
asha_yusuph :
ukishawaza hivi bhc hata hamu ya tendo inakata nilipitia hili zamani now nime move on nipo salama🙏🙏
2026-09-24 16:08:56
5
Fatma Haroun :
cjui uliyaona nnayo ptia
2026-09-22 10:50:28
4
Siwajibu :
Ndivyo walivyo SubhaAllah mungu atupe subra kwenye ndoa zetu
2026-09-22 17:38:31
3
MAMA SAM❤️🥰 :
Gume gume langu🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 12:20:54
2
nakfia :
huyu shekh namkubalii saan mashallah
2026-09-22 19:08:28
2
Boss :
2026-09-22 09:45:43
1
NASRA ❤️👣 :
All in all tujipende wanawake na tutuze sanaa amani ya moyo! Period!
2026-09-22 11:28:49
10
Zainab Zabroun smart lady😊❤️ :
Usichoke kusema ata kama wanaume wengi watakuchukia lakin itabidi wewe ndo uwe mtetez wetu mana tunaishi tu ndowani kwa vile tayar tushaaminishwa kuwa ndowa stara lakin cha moto tunakiona
2026-09-22 12:18:26
5
Merry c mitumba :
yalinikuta😭 mchepuko akawa ananipigia cm kabisaa anauliza amesha toka huyo 😭 sikunilofanya maamuzi ya kumwaka nami nikampigia huyo mchepuko, nikamwambia dada huumzigo nakupa kaanao uonje raha za dunia. heee hawana hata mwezi wameachana.😁😁 jamanii kizuri kama hakijakukutaa
2026-09-25 09:35:08
4
Arafa Hafidhi :
Alinizarau Sanna tukaachana miaka 4 saivi ananitaka