@bongofive: Mzee Ally amedai hofu yake ataiambiaje familia yake ambayo aliiaga anakwenda kutafuta hela Amesema akirudi nyumbani mgonjwa wa goti haweza tena kuhangaika kwaajili ya familia yake. Mzee huyo ambaye anaishi Malamba mawili, amesema baada ya kuona moto huo aliamua kuongozana na Wananchi kuzima moto huo kwa ndoo za maji ndio alipoanguka na kuumia goti na kupata maumivu makali. Imeandaliwa na @yasiningitu @samirkakaa
Bongofive
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 08:19:43 GMT
Music
Download
Comments
Qauthary 🌹 :
Wekeni namba tumchangie
2026-09-22 09:57:45
131
Safaa Pre-Loved :
baba zetu🥺
2026-09-22 11:11:43
26
💕naah 💞💞 :
Pole baba
2026-09-22 23:37:03
0
💕MRS. KUBOJA💕 :
moyo umeniumaa😭😭😭😭
2026-09-22 11:13:33
30
Minaah Imran 🥰 :
mzee asaidiwe jmn apate chochote
2026-09-22 12:10:22
49
images ai :
bora huyu mwenye hofu na mkewe na familia kiujumla
2026-09-22 13:28:33
38
Rda one :
nilichogundua ni kwamba Mungu akitaka kukuinua analeta chanzo tu kidogo na neema zake anazipitishia hapo🙏🙏🙏🙏
2026-09-22 13:18:31
21
nsjj843 :
maskini ata cm ana jamani adi uruma mungu msimamie uyu baba jamani tumsaidie
2026-09-22 15:23:00
5
angel j 💝outifite :
aya ndo mwanzo wako wa mafanikio MUNGU AKIAMUA ATA VIKAPU VITABEBA MAJI MWAKO
2026-09-22 11:22:49
13
Joviner Laurian :
tumchangie
2026-09-22 11:26:32
0
WACHIMBAJI VISIMA TANZANIA✅ :
utaskia tumchangie hii ni aina mpya ya wizi
2026-09-22 15:29:14
4
muuh madevu :
jamani wekeni ni za baba tumchangia chochote kitu
2026-09-22 12:50:49
5
Nancy :
huyu ndo baba Sasa .anaumiza ila nimempenda bure
2026-09-22 19:18:03
5
Henrieter Noely :
Naomba msaada kupata namba yake tafadhal
2026-09-22 15:06:24
2
📿❤️RAKU❤️ :
Ukiona mwanaume analiya jua kaumiya kweli jamani atafutwe wanannchi ata kama mtu anabuku amuwekee anamoyo wakipekee mungu amuweke baba yetu🤲🤲🤲
2026-09-22 13:09:19
3
tumaini :
serikali
2026-09-22 14:38:50
0
Nicole Shaba I :
Ina uma sana jamn pole baba
2026-09-22 21:14:12
1
last born💞 :
wekeni namba ya uyo baba tumchangie ata bukubuku
2026-09-22 15:02:19
10
chabi :
Ni kheir yako mzee Allah amekuepusha na shida nyengine Allah akuhifadhi
2026-09-22 18:40:38
1
Beatrice :
Weka namba ake plzzz
2026-09-22 12:27:57
3
naomik193 :
weken namba inaumiza sana
2026-09-22 16:25:24
1
G4real :
Namba zake basii
2026-09-22 11:37:43
2
Anna kyando :
Daaah baba pole mungu akufanyie wepesi upone🙏🙏🙏
2026-09-22 09:10:50
4
Allu :
😢😢😢 daaa
2026-09-22 09:32:27
2
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.