@edenitv:

EDENI TV
EDENI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 08:33:51 GMT
32252
3842
71
341

Music

Download

Comments

igbalrobben
Hello guys :
Mungu ni mmoja katika nafsi tatu ni ukweli zaidi ya ukweli wanao kataa hiyo kweli basi uhombe sana roho takatifu awafunulie.
2026-11-07 22:44:21
0
sister.mary32
sister mary :
jaman nayapenda sanaa mafundisho ya huyu pastor Mungu azid kukutumia Pasta🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2026-09-22 19:59:13
18
happyneskeyu
happyneskeyu :
Mungu atuhurumie
2026-11-03 07:44:35
2
hilalhabu
Hilal crypto trader☘️🫡 :
mahubiri kamili nayapataje utube wakuu🤔
2026-09-27 07:17:41
3
yesuni.mkuu
YESU.NI.MKUU, :
mungu ni moja2 yesu ni mwokozi wa ulimwengu pia na roho wa mungu,
2026-11-10 06:56:33
0
petermahozolo716
Peter Mahozolo :
1 Wakorintho 8:6 [6]lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.
2026-10-14 21:25:37
1
hurumamahuta
Mariam :
hadi mi nilichanganyikiwa but ubarikiwe pastor
2026-09-23 08:53:29
3
userasson6076
GOD-GIVEN :
Mungu atusaidie san kwenye huu ulimweng Maan tumefika mwisho ambap kla mmoja atalias neno ka Mungu nao ndio huu maan shetan ameifanya mioyo yet kuwa migumu et, Mungu nirehem mwanao
2026-11-01 19:40:00
0
auzathabely873
Auzath Abely :
Ameen pastor exactly only
2026-09-22 20:18:44
1
top.jesus0
TOP JESUS 💪 :
#MUNGU NI PENDO
2026-11-05 19:58:48
0
user4041783925746
chimbagae :
kwaiyo kuna miungu watatu... au.. apo utueleweshe
2026-10-26 09:18:40
1
thadeopaul6
deochatzboy6o :
amen baba
2026-11-05 19:04:16
0
stephanokilaba
Stephano Kilaba :
Amen 🙏 sana
2026-11-07 20:57:13
0
yohanaamos315
YOHANA AMOS :
be blessed my pr
2026-09-23 05:11:29
1
kalebo666
MKWELA BOY :
mungu aku balik pasta semba
2026-10-01 09:02:30
1
selahamalekoth
sela :
correct 💯
2026-11-03 11:20:38
0
waryobawillmatani
Waryoba will Matani :
ameni
2026-11-04 07:33:12
0
samwel.ongara
samwel ongara :
Amina
2026-09-22 11:35:01
0
chiloerick
chiloerick :
ukwel mtupu
2026-09-22 13:22:30
6
evancekimario785
Evance Kimario :
amina mtumishi tunabalikia sana na utumishi wako mungu aendelee kukupa neema hii ya kuchunga kondoo wake amina. baba nilikuwa naomba namba yako mtumishi
2026-10-23 04:51:41
0
elias.john502
elias john :
Be blessed with our almighty God
2026-10-28 15:17:01
0
gii.masauna
Gii Masauna :
hakika
2026-11-12 18:51:05
0
cosmaslucas399
cosmas Harn :
ameni mung ni mwema
2026-10-29 12:45:00
0
user6731543183178
Israel Robot :
Amina🙏🙏
2026-10-27 16:00:13
0
barakajames126
Baraka James :
amina
2026-09-22 14:45:55
0
To see more videos from user @edenitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About